sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Mara nyingi neno masheikh hutumika ili kuficha uovu wa baadhi ya watu. Unaweza kuta hapo hakuna sheikh hata mmoja.
Pili kesi nyingi za ugaidi upelelezi na ushahidi wake ni mgumu kuthibitisha na kumuhumu mtu moja kwa moja.
Ndio maana hata huko duniani wanachofanyaga ni kumalizana nao. Kuna mtu anaweza akawa ana finance makundi ya ugaidi ila si mshiriki..