Arusha: Watuhumiwa wa ugaidi waliosota gerezani kwa miaka 10 waachiwa huru

Arusha: Watuhumiwa wa ugaidi waliosota gerezani kwa miaka 10 waachiwa huru

Kwani magaidi wapo sayari ya mars, au venus, au jupiter??

Nigeria ipo sayari gani? Wale walionukisha westgate kenya ni sayari gani? Wale waliokamata mkoa wa Cabo Del Gado hapo msumbiji ni sayari gani au bara gani??

Unatia aibu na kinyaa sasa.
Endeleeni kuomba ili mletewe Magaidi
 
Mara nyingi neno masheikh hutumika ili kuficha uovu wa baadhi ya watu. Unaweza kuta hapo hakuna sheikh hata mmoja.

Pili kesi nyingi za ugaidi upelelezi na ushahidi wake ni mgumu kuthibitisha na kumuhumu mtu moja kwa moja.

Ndio maana hata huko duniani wanachofanyaga ni kumalizana nao. Kuna mtu anaweza akawa ana finance makundi ya ugaidi ila si mshiriki..
Wanamalizana nao kiaje?...
 
Hawa wako ndani toka 2014 ! Na hao wametoka kisiasa na kutafuta uungaji mkono hao ni magaidi
Wamefanya ugaidi gani,hakuna gaidi wala ugaidi Tanzania kinachotokea ni chuki na vitisho dhidi ya Waislamu wawe waoga wakuhoji haki zao na kujaribu kuwapunguza japo ni mawazo ya kipumbavu tu.
Kuna watu wanatamani waislamu wasiwepo kabisa katika nchi hii ila wanaogopa kusema wazi ndio maana wanajaribu kutumia njia za dhuluma.
 
Sasa hawa waliwekwa ndani wakati Rais ni Islamic mwenzao. Unataka kusema nn hapa??
 
Dah,miaka kumi??sio mchezo ,alafu unakuta hawana kosa,hivi wanalipwa fidia au?
 
Sasa hawa waliwekwa ndani wakati Rais ni Islamic mwenzao. Unataka kusema nn hapa??
Kwani Rais anakamata? Kuna watendaji hawa ndiyo tatizo wengi ndiyo hao wenye chuki na wakimpata Rais anayependa kusifiwa tu na kujifanya yeye ni "Muislamu poa" ndiyo wanamuangushia jumba bovu.
 
Pole sana kwa masheikh hao.
Nje ya mada hao watu watakuwa na genye pro max wakikamata pisi lazima azimie kwa rundo la sperm.
 
Pole sana kwa masheikh hao.
Nje ya mada hao watu watakuwa na genye pro max wakikamata pisi lazima azimie kwa rundo la sperm.
Mafuta ya taa....huko jela unapunguaza sanaaa hizo genye.....kuanza zero....kila kitu kimeparanganyika......wachangiwe mitaji labda.....ngumu sana kuanza bila bila miaka 10 jela
 
Mahakama kuu kanda ya Arusha leo 16/06/2023 imewaachia huru watu 12 wakiwemo Mashehe waliosingiwa kesi ya Uongo ya Ugaidi.

Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa selo kwa zaidi ya miaka 10.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu atoe haki kwa wote waliotunga unyama huu, Amina.

View attachment 2659862

Sorry, Huu mstari unaukweli ndani yake au ni typing error?
Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa selo kwa zaidi ya miaka 10.
 
Sorry, Huu mstari unaukweli ndani yake au ni typing error?
Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa selo kwa zaidi ya miaka 10.
Watuhumiwa wengi wanakamatwa na kuwekwa selo bila kufunguliwa mashitaka kwa miaka mingi mno , kwa kisingizio cha kijinga cha upelelezi bado haujakamilika , hiki ndio kilichotokea kwa hawa
 
MAHAKAMA Kuu kanda ya Arusha imewaachia huru Mashekhe tisa waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya jinai namba 63 ya Mwaka 2022. Kwa kudaiwa kujihusisha na matukio ya kigaidi mwaka 2014.

Washtakiwa hao waliodaiwa kurusha Mabomu katika Bar ya Arusha Night Park na kusabisha kifo cha Mtu Mmoja mnamo April 13, 2014 ni pamoja na Abdalla Athumani, Ally Hamisi, Abdalla Wambura, Rajabu Ahamed, Hassan saidi, Ally Jumanne, Yasin sanga, Shambani Abdallah, na Ibrahim Herman,

Mbali na Mashekhe hawa tisa walioachiwa huru Mashekhe wengine kumi na wawili wenye kesi za ugaidi wamesalia Magereza wakisubiri hatma yao.
 
Isiwe tu kuachiwa kwao ni sharti uwekezaji wa bandari🤣🤣🤣

Tz a.k.a chombo ya mwarabu
 
Back
Top Bottom