Arusha: Watuhumiwa wa ugaidi waliosota gerezani kwa miaka 10 waachiwa huru

Mara nyingi neno masheikh hutumika ili kuficha uovu wa baadhi ya watu. Unaweza kuta hapo hakuna sheikh hata mmoja.

Pili kesi nyingi za ugaidi upelelezi na ushahidi wake ni mgumu kuthibitisha na kumuhumu mtu moja kwa moja.

Ndio maana hata huko duniani wanachofanyaga ni kumalizana nao. Kuna mtu anaweza akawa ana finance makundi ya ugaidi ila si mshiriki..
 
Ngoja baba yako yamkute
 
Kahtan ni yupi hapo ?
 
Ngoja baba yako yamkute
We bwege kweli sasa kama anahusika kwa nini asikamatwe. Kuachiwa haina maana hujatenda kosa, ila ni ushahidi haujanyooka.

Ngoja we siku ubakwe kisha aliyekubaka aachiwe kwa mapungufu ya ushahidi wakati wewe binafsi una ushahidi wa 100% kisha huna vielezo ndio utaelewa nisemacho.
 
Tanzania kuna Magaidi ? usilishwe matango pori , kukataa ccm na dhuluma zake tangu lini ukawa Ugaidi ?
 
Hawa wako ndani toka 2014 ! Na hao wametoka kisiasa na kutafuta uungaji mkono hao ni magaidi
 
Tanzania kuna Magaidi ? usilishwe matango pori , kukataa ccm na dhuluma zake tangu lini ukawa Ugaidi ?
Kwani magaidi wapo sayari ya mars, au venus, au jupiter??

Nigeria ipo sayari gani? Wale walionukisha westgate kenya ni sayari gani? Wale waliokamata mkoa wa Cabo Del Gado hapo msumbiji ni sayari gani au bara gani??

Unatia aibu na kinyaa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…