Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Endeleeni kuomba ili mletewe MagaidiKwani magaidi wapo sayari ya mars, au venus, au jupiter??
Nigeria ipo sayari gani? Wale walionukisha westgate kenya ni sayari gani? Wale waliokamata mkoa wa Cabo Del Gado hapo msumbiji ni sayari gani au bara gani??
Unatia aibu na kinyaa sasa.
Unamuombea mabaya mwenzio??Hakika ! Maana imeandikwa kwamba Kisasi ni cha Mungu , sisi kazi yetu ni kuomba dua tu
Wanamalizana nao kiaje?...Mara nyingi neno masheikh hutumika ili kuficha uovu wa baadhi ya watu. Unaweza kuta hapo hakuna sheikh hata mmoja.
Pili kesi nyingi za ugaidi upelelezi na ushahidi wake ni mgumu kuthibitisha na kumuhumu mtu moja kwa moja.
Ndio maana hata huko duniani wanachofanyaga ni kumalizana nao. Kuna mtu anaweza akawa ana finance makundi ya ugaidi ila si mshiriki..
Wamefanya ugaidi gani,hakuna gaidi wala ugaidi Tanzania kinachotokea ni chuki na vitisho dhidi ya Waislamu wawe waoga wakuhoji haki zao na kujaribu kuwapunguza japo ni mawazo ya kipumbavu tu.Hawa wako ndani toka 2014 ! Na hao wametoka kisiasa na kutafuta uungaji mkono hao ni magaidi
Fb itakuwa imehamia jf kwa fujo sana !!Kwahiyo ulitaka wasiachiwe kwa sababu Rais aliyepo ni muislam!
DuuuuhKazi ya Kikwete hiyo! Usimuone anachekacheka ana roho mbaya tena ya kisasi kuliko shetani!
Sasa hawa waliwekwa ndani wakati Rais ni Islamic mwenzao. Unataka kusema nn hapa??Wamefanya ugaidi gani,hakuna gaidi wala ugaidi Tanzania kinachotokea ni chuki na vitisho dhidi ya Waislamu wawe waoga wakuhoji haki zao na kujaribu kuwapunguza japo ni mawazo ya kipumbavu tu.
Kuna watu wanatamani waislamu wasiwepo kabisa katika nchi hii ila wanaogopa kusema wazi ndio maana wanajaribu kutumia njia za dhuluma.
Kwani Rais anakamata? Kuna watendaji hawa ndiyo tatizo wengi ndiyo hao wenye chuki na wakimpata Rais anayependa kusifiwa tu na kujifanya yeye ni "Muislamu poa" ndiyo wanamuangushia jumba bovu.Sasa hawa waliwekwa ndani wakati Rais ni Islamic mwenzao. Unataka kusema nn hapa??
Mafuta ya taa....huko jela unapunguaza sanaaa hizo genye.....kuanza zero....kila kitu kimeparanganyika......wachangiwe mitaji labda.....ngumu sana kuanza bila bila miaka 10 jelaPole sana kwa masheikh hao.
Nje ya mada hao watu watakuwa na genye pro max wakikamata pisi lazima azimie kwa rundo la sperm.
Waliwekwa na serikali ya Kikwete na kuondolewa na serikali ya Samia; nani mdini kati yao.Udini activated
We utakuwa gaidi mmojawapo. Au we ndio yule aliyedakwa mwanza akaachiwa akadakwa tena msumbiji akasema hawezi kuacha?Endeleeni kuomba ili mletewe Magaidi
Uyo munguwake ni shetani usishangae mkuu.Unaomba mwenyezi Mungu atoe kisasi au awasamehe...
Ni wapi Iliandikwa Shetani asamehewe ?Uyo munguwake ni shetani usishangae mkuu.
Mahakama kuu kanda ya Arusha leo 16/06/2023 imewaachia huru watu 12 wakiwemo Mashehe waliosingiwa kesi ya Uongo ya Ugaidi.
Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa selo kwa zaidi ya miaka 10.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu atoe haki kwa wote waliotunga unyama huu, Amina.
View attachment 2659862
Watuhumiwa wengi wanakamatwa na kuwekwa selo bila kufunguliwa mashitaka kwa miaka mingi mno , kwa kisingizio cha kijinga cha upelelezi bado haujakamilika , hiki ndio kilichotokea kwa hawaSorry, Huu mstari unaukweli ndani yake au ni typing error?
Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa selo kwa zaidi ya miaka 10.