mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tatizo lingine katika hizo shule vigisuvigisu ni vyingi sana kwa watoto kupata nafasi katika shule hizo. Wengi wa watoto wanaosoma huko wazazi wao au walezi wao wanakipato kizuri tu, ila zinaitwa shule za watoto wa masikini.
Kwa utawala huu hiyo inawezekana kabisa.!Naomba kuelimishwa ndugu zangu, TRA ina mamlaka gani ya kuchukua hela kwenye akaunti ya shule bila ya kutoa taarifa kwa wahusika? Ina maana serikali ina mamlaka hadi kwenye akaunti zetu binafsi?
Mwenye kuelewa hili naomba anielimishe na mimi.
Rudi kwenu buyenzeSafi sana TRA yetu, nendeni wafwatilieni pia na wengine kama Braeburn & Co.
N Jumlisha na zile benki zilizofungiwa, mf Meru community bank n.k.Nikuulize swali rahisi tu.
Pesa zilizochukuliwa kwny yale ma bureau de exchange zilirudishwa?
Ukipata jibu la swali hilo ndipo utajua uwezo/mabavu ya TRA/govt agencies khs pesa zozote zile zilizoko ndani ya jamhuri.
Daah unatonesha kidonda mzee baba.N Jumlisha na zile benki zilizofungiwa, mf Meru community bank n.k.
Nani kakuambia inaendeshwa na Walipa kodi wa Australia?.Endelea kusomeshewa mwanao na walipa kodi wa Australia
Wiki chache nyuma tulikuwa na Mama mmoja alianzisha kiwanda cha maziwa kule Meru akawa anaweka kila cent anayopata kwenye hiyo benki kwa nia ya kupanua shughuli zake hatimae nae amiliki Kiwanda kikubwa.Daah unatonesha kidonda mzee baba.
Acha uongo wako huo na upotoshaji!Tatizo lingine katika hizo shule vigisuvigisu ni vyingi sana kwa watoto kupata nafasi katika shule hizo. Wengi wa watoto wanaosoma huko wazazi wao au walezi wao wanakipato kizuri tu, ila zinaitwa shule za watoto wa masikini.
TRA wamefanya kazi yao kila mtoto pale analipiwa ada japokuwa inatokana na msaada ,na walimu na wafanyakazi wengine wanapata mishahara sasa unaikwepa wapi serikali inapodai asilimia 20 ya kilichozidi baada ya kutoa gharama za shule ?shule zote private zinalipa kodi ,tofauti yao na wengine ni chanzo cha makusanyo ,hilo la wazazi sio big issue kwa sababu wanaowafuatiliaji wazuri wanaojiridhisha wanafunzi tena mmoja tu anatoka familia isiyojiweza,na elimu inayotolewa hapo ni ya hali ya juu kweli kweli sio ya kuunga unga pengine hauwezi kuipata hata shule nyingi binafsiHii issue ya wafanyakazi kujitegemea Tin number itayaumbua makampuni mengi kufika Jan. Wengi walikuwa wanafanya michezo ya kuigiza kukata wafanyakazi Kodi na kuchanganya na Kodi yao ndogo, na hao Jude mwanzo walianza kuchanganya Private na Charity Sasa Kodi ya huko nyuma walilipa?
Na Kama kweli Kuna fungu la kushomesha kwanini hawawalipii hao wanafunzi kwenye shule moja kwa moja? Kingine watoto wenye shida wapo government tunawaona, ifike sehemu kwenye kuwajibika tuwaache wazazi wafanye majukumu yao Tena na Sheria ziwekewe mkazo kuondoa uzembe kwenye taifa, hao wazazi 2000 wote hao kweli waliondama walishindwa kubeba majukumu yao?
Ni aibu kabisa, Mimi nilitegemea kusikia watoto Yatima au wazee wasionanguvu wameandama kuomba wajukuu wao wasome maana hata Mimi niyatima najua ilivyongumu kusoma lakini siyo hao wazazi wenye nguvu wanafanya hayo maigizo bwana.
Acha kushabikia kitu usichokijuaTatizo lingine katika hizo shule vigisuvigisu ni vyingi sana kwa watoto kupata nafasi katika shule hizo. Wengi wa watoto wanaosoma huko wazazi wao au walezi wao wanakipato kizuri tu, ila zinaitwa shule za watoto wa masikini.
Utaratibu wa kutembelea kaya maskini upo. Sema kw watanzania udanganyifu ni mkubwa mnooJe hao watoto ni kweli wanatoka katika familia zilizokusudiwa kweli?Nakumbuka hata compassion ilikuwa hivi hivi lakini waliokuwa wansomeshwa ni watu au familia ambazo mke na mume wameajiriwa,watoto wao wakubwa wana ajira na hao wanaolipiwa sio wenye shida au uhitaji(nina rafiki yangu alikuwa boss wangu watoto wake walikuwa wanalipiwa adaKwa nini wasitembelee hizo familia masikini waone kama ni maskini?