Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

Mwanzoni walivyoanzisha shule ndivyo ilivyokuwa lkn baadae walikuja kuondoa huo utaratibu. Hivyo kwa sasa wote waliopo pale wamefadhiliwa na raia wa Australia.

Hapo pana issues then! Waache wafu wazikane!
 
Kanisa katoliki halina hata 0% ya hiyo shule,ni mali ya mama wa kizungu na mumewe muarusha bob rich
 
Hiyo shule ni ya msaada kwa wanafunzi wenye vipaji na wazazi wao hawana uwezo wa kuwasomesha kwenye shule za vipaji maalumu....
Si shule za serikali zilipeleka watoto,cz wng wako private hawakwenda huko na wangeambiwa wangebaki nyumbani no kwenda
 
Tatizo lingine katika hizo shule vigisuvigisu ni vyingi sana kwa watoto kupata nafasi katika shule hizo. Wengi wa watoto wanaosoma huko wazazi wao au walezi wao wanakipato kizuri tu, ila zinaitwa shule za watoto wa masikini.
hizo shule janja janja nyingi sana...
 
Hii issue ya wafanyakazi kujitegemea Tin number itayaumbua makampuni mengi kufika Jan. Wengi walikuwa wanafanya michezo ya kuigiza kukata wafanyakazi Kodi na kuchanganya na Kodi yao ndogo, na hao Jude mwanzo walianza kuchanganya Private na Charity Sasa Kodi ya huko nyuma walilipa?

Na Kama kweli Kuna fungu la kushomesha kwanini hawawalipii hao wanafunzi kwenye shule moja kwa moja? Kingine watoto wenye shida wapo government tunawaona, ifike sehemu kwenye kuwajibika tuwaache wazazi wafanye majukumu yao Tena na Sheria ziwekewe mkazo kuondoa uzembe kwenye taifa, hao wazazi 2000 wote hao kweli waliondama walishindwa kubeba majukumu yao?

Ni aibu kabisa, Mimi nilitegemea kusikia watoto Yatima au wazee wasionanguvu wameandama kuomba wajukuu wao wasome maana hata Mimi niyatima najua ilivyongumu kusoma lakini siyo hao wazazi wenye nguvu wanafanya hayo maigizo bwana.
 
Tatizo lingine katika hizo shule vigisuvigisu ni vyingi sana kwa watoto kupata nafasi katika shule hizo. Wengi wa watoto wanaosoma huko wazazi wao au walezi wao wanakipato kizuri tu, ila zinaitwa shule za watoto wa masikini.
Huu ni ukweli kabisa
 
Kati ya wanafunz wote hapo shuleni 5% ndo wa maskini kwa ajili ya kuzugia wanaobaki wazaz Wana kipato kizuri tu. Ukiuliza majirani wanaozunguka hiyo shule ndo utabaki mdomo wazi nanna uongozi wa shule wanavyotaabisha hao maskini.
Mkuu humu wazazi huanzia na vigezo vys kimaskini kabisa ila hawakatazwi kujikwamua na umaskini.Hao matajiri unawaowasema ni kweli ila wamepata utajiri baada ya kuwa watoto wao wamepata nafasi pale.So maendeleo kwa kila kaya hayakwepeki.Leo maskini kesho tajiri.
 
Waligoma kupeleka watoto kwenye Kampeni
Yes Tatizo lilianzia hapa. Na Kimsingi hili ndo Tatizo.

Wakat WA kampen uongozi wa shule Uliambiwa wawaambie wafanyakaz wao wavae sare Za Chama kile then waendee kweny mikutano wa kampeni.....
Uongoz wa shule ukagoma.

Then Tra wakaja na kuwaambia Kuna kodi billion kadhaa wanadaiwa...

Uongoz ukashindwa kulipa.....
Wakafreez accounts zao.

Uongoz ukafunga shule kwa kuwa hawana cha kuwalisha.
 
Wameamua wenyewe kuandamana au da mange kawahamasisha? au Lissu?.By the way yamkini kipimo kimejaa.Wameona jambo lao halibebeki kifuani.
 
Tatizo Nchi haina wasomi hawawezi kupiga faida ya hiyo shule toka ilipoanzishwa imetoa watoto wangapi mpaka kesho itaendelea kutoa watoto wangapi kupata Elimu na kufikia malengo yao ila wao wamesimamia mabilion wanayodai mnaposema Elimu bure harafu wanaotoa Elimu bure mnawadai na kuwafungia akaunti zao mnamaanisha nini.
 
Kuendekeza misaada ni kansa inayoitafuna nchi. Nakumbuka madai kama haya huwa yanatolewa na watu wa dini kuwa nchi isipojiunga kwenye mashhirika ya kidini inafanya watu wa dini ile wakose misaada. wakristu wanalilia memorandum yao na waislam wanalilia kujiunga OIC. Kisa misaada. Mi nafikiri misaada tuipokee kwa umakini inavunja utengamana wetu.
 
Acheni ujinga TEC na St Jude wapi na wapi? hii sio shule ya kanisa ni makosa kuandika bila kuwa na fact
Wewe unaijua? Hahahahhaa kama hujui wafadhili ambao wako chini ya kanisa na hilo jina na Tec waliomba isamehewe deni Siku ya kusimikwa Askofu Amani kama hujui uliza.
 
Narudia kusema shule hii haina mahusiano na kabisa katoliki ,tafuta fact au kuona st Jude unafikiri ni shule ya kanisa nenda kwenye website kaangalie "stjudeschools-moshono "
Angalia Fanya tafiti hata Magari yao yanapack wapi hapa mjini kama siyo st Theresa Cathedral usibishe usiyojua.
 
TRA!!!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…