gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Mkuu, unatumia maarifa gani kumtambua maskini kwa kuangalia picha ya mtu?!Mfano mzuri Mfano mzuri picha ya hapo juu. Wazazi maskini hao kweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unatumia maarifa gani kumtambua maskini kwa kuangalia picha ya mtu?!Mfano mzuri Mfano mzuri picha ya hapo juu. Wazazi maskini hao kweli!!
Hapa ndio watanzania tunapofeli mkiambiwa ukweli mnakimbilia wivu.Mtoto masikini anaanzia shilingi ngapi?
Una chuki na wenye pesa zaidi yako!
TRA wanasimamia sheria. Wakuulizwa ni Serikali inayopeleka mswada Bungeni na Wabunge kupitia bila "CRITISISM" ya kutosha hivyo kuacha mianya ya watu kuumizwaIla TRA kuna tatizo
Huo ni muonekano wa maskini wa kipato!!!Mkuu, unatumia maarifa gani kumtambua maskini kwa kuangalia picha ya mtu?!
Kuna yoyote hapo kwenye picha mwenye muonekano wa kustua?Huo ni muonekano wa maskini wa kipato!!!
Hizi taasisi zinaweza kuwa na leo zuri lkn wanao ziongoza na wahusika wa kutambua walengwa haswa wa hitaji.. wengi huongozwa na tamaa. Fumbua macho utaona ukitaka.View attachment 1639038
hiyo ndiyo awamu ya tanoWazazi Maskini zaidi ya 2000 ambao watoto wao wanafadhiliwa kimasono katika shule ya st Jude iliyopo Arumeru mkoa wa Arusha, wameandamana ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha wakitaka shule hiyo yenye mchepuo wa kiingereza ifunguliwe ili watoto wao waliosimamishwa masomo kwa zaidi ya wiki mbili waweze kuendelea na masomo.
Wazazi hao wamedai kwamba mamlaka ya mapato Tanzania TRA imekausha akaunti yao kwa kuchota fedha zote zilizokuwa kwenye akaunti ya shule kwa madai kwamba shule hiyo haijalipa kodi ya serikali kwa muda mrefu na hivyo uongozi wa shule hiyo kulazimika kuwasimamisha masomo wanafunzi kwa kushindwa kujiendesha baada ya fedha zilizopo kwenye akaunti kuchukuliwa na TRA.
View attachment 1638958View attachment 1638959
unasema Hivyo sababu hayajakukuta Ila TRA wana tatizo.TRA wanasimamia sheria. Wakuulizwa ni Serikali inayopeleka mswada Bungeni na Wabunge kupitia bila "CRITISISM" ya kutosha hivyo kuacha mianya ya watu kuumizwa
Mkuu,Katika kitu kilichonishangaza ni hiki.Hii shule ni Charitable.Sasa sijui nini kinaendelea ila hii nchi yetu ina matatizo sana.Kwamba shule zinatozwa kodi?I see. Kukwepa kodi ni kosa la jinai. Imekuwaje badala ya wahusika kufikishwa mahakamani TRA ikaushe akaunti ya Shule? Kuna tatizo mahali
Ni kweli mkuu.Hii shule ni Kama NGO inachukua watoto maskini sanawanasomeshwa happy mpaka form six na wengine mpaka chuo.kama kungekua na shida Serikali ingekaa nao Kwanza kujua tatizo liko wapi.tunakoelekea Hali itakua tete sana
maji yalishakorogekaNaomba kuelimishwa ndugu zangu, TRA ina mamlaka gani ya kuchukua hela kwenye akaunti ya shule bila ya kutoa taarifa kwa wahusika??? Ina maana serikali ina mamlaka hadi kwenye akaunti zetu binafsi???
Mwenye kuelewa hili naomba anielimishe na mimi.
acaha tunyoshwe tu maana TEC walionesha kuiamini tume ya uchaguzi pamoja na irregulaties Fr. Kitima alisema walipe kodi sasa TEC kila mtu ataguswa utawala wa sheria ni muhimu sana unachotaje hela kutoka kwenye account watoto wanasoma bure si waliomba msamaha siku ya kusimikwa Amani kwani hawajapewa msamaha tu?Wazazi Maskini zaidi ya 2000 ambao watoto wao wanafadhiliwa kimasono katika shule ya st Jude iliyopo Arumeru mkoa wa Arusha, wameandamana ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha wakitaka shule hiyo yenye mchepuo wa kiingereza ifunguliwe ili watoto wao waliosimamishwa masomo kwa zaidi ya wiki mbili waweze kuendelea na masomo.
Wazazi hao wamedai kwamba mamlaka ya mapato Tanzania TRA imekausha akaunti yao kwa kuchota fedha zote zilizokuwa kwenye akaunti ya shule kwa madai kwamba shule hiyo haijalipa kodi ya serikali kwa muda mrefu na hivyo uongozi wa shule hiyo kulazimika kuwasimamisha masomo wanafunzi kwa kushindwa kujiendesha baada ya fedha zilizopo kwenye akaunti kuchukuliwa na TRA.
View attachment 1638958View attachment 1638959
Nilikuwepo kwenye hyo misahii shule mgogoro na TRA ulianza wakat ule magufuli amekuja arusha kuhudhuria kusimikwa kwa Askofu wa Katoliki..askofu aliomba shule ifutiwe madeni..magufuli akasema nimeambiwa kuna kesi kwa hiyo sowwz ingilia mahakama..magakama ikaamua pesa ilipwe..nasikia shule ikalipa..bado wakaendelea kudaiwa mikodi kibao..had kufunga akaunt na mwisho wamezihamisha..watoto wote wanasoma bure asilimia 100..serikali ikae na uongoz wa shule waone namna ya kuwasaidia watoto..
Yawezekana aliyesema kua wanaosoma hapo ni watoto wa wenye pesa akawa anao uhakika,sidhani kama ni NGO inayosaidia watu maskini,wangeshindwa kuelewana.Wewe uko huko Mtowisa,hujui ya Arusha,unajua ya Lwanji na Ng'ongo.Hii shule ni Kama NGO inachukua watoto maskini sanawanasomeshwa happy mpaka form six na wengine mpaka chuo. Kama kungekua na shida Serikali ingekaa nao Kwanza kujua tatizo liko wapi.tunakoelekea Hali itakua tete sana.