Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Wewe unakostahili kuwa ni hospitali.

Ukiwa na maradhi ya akili halafu unapost mada, wengine wanaweza kufikiria mada imeletwa na mtu mwenye afya njema ya akili, kisha wakadhani JF imeshuka mpaka kiwango cha kulifanya jukwaa kuwa kama kambi ya wapiga ramli.

Here we discuss issues, informations, news, events, matters not illusions.
 
Ndio maana mnaulizwa kama agenda yenu baada ya kupata ruhusa ya mikutano ni kumzungumzia magufuli??
Nani ametupa ruhusa ya mikutano na nani anastahili kutoa ruhusa? Sema tumeamua kudai haki ya kikatiba iliyokandamizwa
 
Nani ametupa ruhusa ya .ikutano na nani anastahili kutoa ruhusa? Sema tumeamua kudai haki ya kikatiba iliyokandamizwa na Lucifer jpm
Sawa mmepewa io haki tayari! Kwaio mna i practice kwa kumsema alietangulia? Maana me naona afadhali mngejikita kwenye mambo yanayowagusa wananchi kuliko kuhusudu nongwa na marehemu ambae hatowajibu maneno yenu!!!
 
Hakuna mwenye uwezo wa kitupwa Bali tumechukua kwa nguvu. Mbona huelewi? Hivi haki yako unapewa au unachukua! Kuna mtu anakuamulia namna ya kuishi au unajiamlia mwenyewe?
 
Sawa mmepewa io haki tayari! Kwaio mna i practice kwa kumsema alietangulia? Maana me naona afadhali mngejikita kwenye mambo yanayowagusa wananchi kuliko kuhusudu nongwa na marehemu ambae hatowajibu maneno yenu!!!
Lazima tumseme ili iwe fundisho tusije kupata dictator tena nchi hii! Yule ni reference ya udictator
 
Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.

Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako
Mtoa mada ni bonge la popoma, hawezi kuelewa hili............apuuzwe tu!
 
Lazima tumseme ili iwe fundisho tusije kupata dictator tena nchi hii! Yule ni reference ya udictator
Kila mtu ana falsafa zake za maisha! Na uzuri wa falsafa zako ndio ushindi wako!!
 
Kuambiwa huna Akili Kwako ni Tusi?
Kwahiyo mwenye mawazo tofauti na yako anakua hana akili?
Wewe umetumia kipimo gani kujua kama una akili?
Unataka kujipa hatimiliki mpaka yakupangia watu maoni yao?
Badili mtazamo mkuu hata kuamini kwamba upo sahihi kuliko mtu yeyote ni tatizo
 
Kila mtu ana falsafa zake za maisha! Na uzuri wa falsafa zako ndio ushindi wako!!
Rais Gani muuji. Tangu nchi ipate uhuru hatukuwahi kumpata muuaji waziwazi tena analenga wapinzani awamalize wote ndo mana akina lema lazima wamseme kumaliza machingu Yao vinginevyo Sasa hivi wangekuwa wafu na tushawazika. Lile dubwana heli mungu ameliua
 
Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.

Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako
Mawazo kama hayo mtoa mada hayataki anataka aambiwe hewala.
Hiki sio kijiwe cha kuburuza watu.

Amekua na mtazamo kwamba kumtumia mtu fulani ili kukutana na mwingine ni dhambi. Kwahapo hayupo sawa
 
Ahaaaaaah, nimekupata kumbe wanapunguza machungu kwanza!!! Halafu badae watarudi chadema wale wa mahoja mazitomazito na mikakati motomoto kwenye mikutano yao!!! Wwooow nasubiri io part pia....
 
Ninazidi kupata picha ya uhusika wa mstaafu kwenye kwendazake mtu, kuna uzi humu mrefu sana mtu anaandika hilo kwa lugha ya picha lakini nafikiri kuna logic nzuri katika uandishi wake. Sasa tamko la Lema linanipeleka kwenye kuamini zaidi kwani jamaa yule aliwatishia amani vigogo wengi na sio ajabu walimchukia kwa dhati na kumwondosha kabla hajaleta madhara zaidi. Ujue hakuna marafiki/maadui wa kudumu kwenye siasa.
 
aliyaua majizi na mauaji makubwa kama ya kibiti
Ben Saanane alikuwa jambazi? Azori gwanda alikuwa jambazi? Lisu alikuwa jambazi? Na kama aliwaua majambazi sheria Gani inamruhusu kuua, kwani yeye ni mahakama inahohukimu. Au mahakama kipindi chake aliiweka mfukoni akawa anatembea nayo
 
Nani asiyejua kuwa JK ndiyo bado Rais na Wengine ni Ceremonial tu Mkuu?
Kama unajua watu wanajua hilo hoja yako nini kwenye hii thread!!??

Samia ataendelea kuwa Rais wako tu hutaki hama nchi, na huna cha kumfanya!! Yupo mpaka 2030, wasiotaka nendeni burundi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…