Ndio maana mnaulizwa kama agenda yenu baada ya kupata ruhusa ya mikutano ni kumzungumzia Magufuli?Jifunze kuficha ujinga wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana mnaulizwa kama agenda yenu baada ya kupata ruhusa ya mikutano ni kumzungumzia Magufuli?Jifunze kuficha ujinga wako
Nani ametupa ruhusa ya mikutano na nani anastahili kutoa ruhusa? Sema tumeamua kudai haki ya kikatiba iliyokandamizwaNdio maana mnaulizwa kama agenda yenu baada ya kupata ruhusa ya mikutano ni kumzungumzia magufuli??
Sawa mmepewa io haki tayari! Kwaio mna i practice kwa kumsema alietangulia? Maana me naona afadhali mngejikita kwenye mambo yanayowagusa wananchi kuliko kuhusudu nongwa na marehemu ambae hatowajibu maneno yenu!!!Nani ametupa ruhusa ya .ikutano na nani anastahili kutoa ruhusa? Sema tumeamua kudai haki ya kikatiba iliyokandamizwa na Lucifer jpm
Duh mkuu kumbe hata wewe huwa unatukana. Sijakudhania kabisaHuna Akili.
Kuambiwa huna Akili Kwako ni Tusi?Duh mkuu kumbe hata wewe huwa unatukana. Sijakudhania kabisa
Hakuna mwenye uwezo wa kitupwa Bali tumechukua kwa nguvu. Mbona huelewi? Hivi haki yako unapewa au unachukua! Kuna mtu anakuamulia namna ya kuishi au unajiamlia mwenyewe?Sawa mmepewa io haki tayari! Kwaio mna i practice kwa kumsema alietangulia? Maana me naona afadhali mngejikita kwenye mambo yanayowagusa wananchi kuliko kuhusudu nongwa na marehemu ambae hatowajibu maneno yenu!!!
Lazima tumseme ili iwe fundisho tusije kupata dictator tena nchi hii! Yule ni reference ya udictatorSawa mmepewa io haki tayari! Kwaio mna i practice kwa kumsema alietangulia? Maana me naona afadhali mngejikita kwenye mambo yanayowagusa wananchi kuliko kuhusudu nongwa na marehemu ambae hatowajibu maneno yenu!!!
Mtoa mada ni bonge la popoma, hawezi kuelewa hili............apuuzwe tu!Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.
Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako
Sijui nawewe nikuambie hivyo?Kuambiwa huna Akili Kwako ni Tusi?
Kila mtu ana falsafa zake za maisha! Na uzuri wa falsafa zako ndio ushindi wako!!Lazima tumseme ili iwe fundisho tusije kupata dictator tena nchi hii! Yule ni reference ya udictator
Kwahiyo mwenye mawazo tofauti na yako anakua hana akili?Kuambiwa huna Akili Kwako ni Tusi?
Rais Gani muuji. Tangu nchi ipate uhuru hatukuwahi kumpata muuaji waziwazi tena analenga wapinzani awamalize wote ndo mana akina lema lazima wamseme kumaliza machingu Yao vinginevyo Sasa hivi wangekuwa wafu na tushawazika. Lile dubwana heli mungu ameliuaKila mtu ana falsafa zake za maisha! Na uzuri wa falsafa zako ndio ushindi wako!!
Mawazo kama hayo mtoa mada hayataki anataka aambiwe hewala.Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.
Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako
Ahaaaaaah, nimekupata kumbe wanapunguza machungu kwanza!!! Halafu badae watarudi chadema wale wa mahoja mazitomazito na mikakati motomoto kwenye mikutano yao!!! Wwooow nasubiri io part pia....Rais Gani muuji. Tangu nchi ipate uhuru hatukuwahi kumpata muuaji waziwazi tena analenga wapinzani awamalize wote ndo mana akina lema lazima wamseme kumaliza machingu Yao vinginevyo Sasa hivi wangekuwa wafu na tushawazika. Lile dubwana heli mungu ameliua
Ninazidi kupata picha ya uhusika wa mstaafu kwenye kwendazake mtu, kuna uzi humu mrefu sana mtu anaandika hilo kwa lugha ya picha lakini nafikiri kuna logic nzuri katika uandishi wake. Sasa tamko la Lema linanipeleka kwenye kuamini zaidi kwani jamaa yule aliwatishia amani vigogo wengi na sio ajabu walimchukia kwa dhati na kumwondosha kabla hajaleta madhara zaidi. Ujue hakuna marafiki/maadui wa kudumu kwenye siasa."Nilimpigia Simu Rais Mstaafu Kikwete na kumwambia nataka kurudi Tanzania nae ( Kikwete ) akaniuliza nipo na nani na nataka Kurudi lini nikamjibu nae ( Kikwete ) akaniambia nisubiri waweke mambo sawa na nitarejea tu"
Akina GENTAMYCINE Kutwa tena kwa Kujiamini na kuwa na Uhakika kuwa Mstaafu Kikwete ana Nguvu katika Utawala wa Rais Samia na Rais Samia hapinduki ( hana Kauli ) kwa Kikwete na kwamba Kikwete bado ni Rais ( japo Kivuli ) huwa mnakataa na Kubisha.
Rais ni Samia kwanini Wewe umpigie Simu Rais Mstaafu Kikwete? Kama Lema kwa Kusema haya unadhani Umempaisha Kikwete basi ndiyo Umeharibu zaidi na Kututhibitishia kuwa Tanzania ya sasa Kikwete ndiyo mwenye Maamuzi ya Mwisho na wengine ni Ceremonial Presidents tu.
Ben Saanane alikuwa jambazi? Azori gwanda alikuwa jambazi? Lisu alikuwa jambazi? Na kama aliwaua majambazi sheria Gani inamruhusu kuua, kwani yeye ni mahakama inahohukimu. Au mahakama kipindi chake aliiweka mfukoni akawa anatembea nayoaliyaua majizi na mauaji makubwa kama ya kibiti
Kama unajua watu wanajua hilo hoja yako nini kwenye hii thread!!??Nani asiyejua kuwa JK ndiyo bado Rais na Wengine ni Ceremonial tu Mkuu?
mimi sijaidharau ila nimeandika kwa mtazamo wanguIla tuwe wakweli tukiweka siasa pembeni....kudharau Kaz ya mtu Kwa maneno ingali humsaidii Kwa vitendo inaumiza kweli kaka...sana yaan