Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Rubbish, yeye mbona haendi kuendsha bodaboda? Watoto wa wengine ndio wanastahili bodaboda. Bodaboda ni laana!
Na siku hizi wengi ndio wamemaliza madigrii vyuoni wanaendesha bodaboda, Lema Yuko sahihi ila uwasilishaji ndo mbovu, anachopigania ni tax cuts Ili foreign investors waje, wale wenye degree wapate ajira waione thamani elimu yao.

Nimeisikiliza na kureplay video ya dk 1 na sekunde zake.
Ilibidi aspecify tu tatizo aliweka hoja in general(kuwainclude wasioenda shule).

Tunafahamu ya kuwa bodaboda imeweza toa ajira isiyo rasmi Kwa wale wanaotamba kuvaa joho la chuo.
Haiwezekani mtu amemaliza chuo , Hana uhakika wa ajira, anaona Bora aendeshe bodaboda asukumize siku.

Hii ni kwasababu ya sera mbovu za Serikali na upigaji unaopitiliza.
 
Lema hajielewi yule

Miaka kumi hata siona kimoja alichowafanyia watu wa Arusha..nawashauri watu wa Arusha waachebkufuata mkumbo na miemko..ungozi haitaki harakati.
 
Endelea kuwapa shule hao wanaoshindwa kutofautisha majukumu ya mbunge na yale ya serikali inayokusanya kodi na kukopa mikopo kedekede
 
Hujui mamlaka na majukumu ya mbunge hapo ulipo, mbunge siyo mtawala ni msemaji tu. Unamlaumu golikipa kwa magoli kukataliwa na refa!!
 
Cheap politics, mbona huongelei upigaji unaoendelea.
Wakati hao ndio wapigaji. Alishaambiwa ameingiziwa mlungula kupitia akaunti ya mkewe. Hayo aliyasema Gambo mbele ya waziri mkuu.

Kama anaona bodaboda ni neema akanunue aendeshe. Asifanye watu hamnazo.

Bodaboda kataeni kutumiwa na hao jamaa wanaojitia eti hiyo ni ajira. Hata wapiga debe na makondakta wanapata hela mbona hawawasifii
 
Huwaonei huruma hao wanapoteza maisha au kupata vilema kila kukicha kutokana na kuendesha bodaboda au bajaji kiholela tena bila leseni wala kuzingatia sheria za usalama barabarani?!
Kazi karibu zote ni risk. Unataka waache bodaboda ili wafanye kazi kazi? Ya kulelewa bure kama yeye lema?
 
Hajui kwamba mtu mzima na familia yake kulishwa na wanaume wenzake ndo LAANA kubwa
Kabisa kabisa, maana hatujui yeye anawapa nini kwa kuwa haiwezekani wanaume wenzio wakulishe burebure tu
 
Hizo fursa nzuri mbona lema Hana? Anaishi kwa kula na Kulala bure kwa pesa za wanaume wenzake. Unataka wote waishi hivyo?
 
Mzee wa logical non sequiturπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Wa tz wengi mnaongelea kitu kimoja lakini bado hamuelewani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Kujieleza kwa ufasaha tu ni mtihani, ndiyo hivyo inakuwa lugha gongana.

Watu wako so easily offended mpaka ukiwaambia ukweli kwa nia nzuri wanaona unawatukana.

Yani wewe hutaki umasikini, wao hawataki umasikini.

Wewe unaelewa kwamba kuna systemic failure, wao wanaelewa kuna systemic failure.

Kimsingi wote mnakubaliana.

Lakini, mkikaa chini kushauriana, mnaanza kutukanana!
 

Huyu tangu aanze kuchapa fimbo watu pale Arusha nilimfuta mazima.
 
Hakuna Kazi isiyo na Risk

Hata Madereva wa Mabasi makubwa wanapata ajali sana pia

Kusema Kazi ya kuendesha Bodaboda ni LAANA ni kosa kubwa

Wanategemea kazi hiyo kujenga, kuendesha familia, kusomesha n.k

Kinachotakiwa katika Kazi zote ni UMAKINI TU.
 
Maisha sio Lelemama. Inawezekana Lema amelemaa na misaada iliyokuwa inamuwezesha kuishi bila kufanya kazi huko Kanada...

Kasikilize clip ya Lema utaelewa. Vijana wengi wa boda wanakufa baada ya muda mfupi, kisa afya ya kifua na ajali.
 
Vijana na graduate msikubali kufanywa mafara hao wanasiasa uchwara wanawanyima ajira halafu wanawaambia mkajiajiri kwa kuendesha bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…