Nyamisele
Hayo ni yale unayotaka kupandikiza. Uliyopandikizwa....Hayo hata kama yana ukweli, haumpatii Lema ruhusa, utanisamehe kwa lugha hapo, simply, it does not justify yeye kutamka hayo.
Lakini ni vizuri umeafiki kuwa ni 'Matusi'
Sawa, Chongolo amefanya hivyo. Hatahivyo sikubaliani naye. Anachodai waende kufundishwa Namna na jinsi gani wanaweza kutengeneza ajira zao.
Tuachie hilo.
Hebu niambie, umetumia ulinganishi wa Nchi gani ambako kwa kawaida vijana wakitoka chuoni wanaenda kuajiriwa? Ni nchi gani 'strugling' ni kufanya kwa bidii na nchi gani 'strugling' ni laana? Hao mnaodai wana Capital inabidi wawafanyie kazi wengine ndio waje kupata hizo capital, huku kwetu mtu akijishugulisha na bodaboda kutafuta hiyo capital, tena akiwa huru kufanya hivyo mnasema laana! Tofauti ya hapa na huko nje mnakofanya ulinganishi ni kuwa Kijana akitoka form six anaajiriwa, kitumwa! ndipo anapookota hizo Capital, Skills Experience na kujenga mitandao....kitu ambacho kwetu sisi tunakuwa na mitandao,(networks) life experience n.k halafu tunakuja kutafuta Capital ya kufanya Biashara.....ni chaguzi, umfanyie mtu kazi au uwe wakujifanyia kazi, tena huru kama bodaboda upate Capital....ukweli wa falsafa ya maisha sio wote watatoboa na ipo sehemu yeyote 'Duniani' yaani utoboe au usitoboe!
Isitoshe nimeona sehemu ati '....Bodaboda wanafanya hivyo lakini mwisho wa siku wanalundikana kwenye nyumba....hivyo waonewe huruma kwani huo umasikini ndio laana...', ukija kwa huko mnapolingansiha na 'Falsafa ya maisha' wale wanaolundikana na kufanyishwa kazi waende chuoni, wanaonyesha bidii na ukomavu wa kupambana na maisha katika kujenga uimara na kuheshimu 'Ujengaji wa Capital' (Capital Accumulation) Lakini wa huku kwetu wanakua ni 'Walevi na wasaka Malaya!' kweli hayo?
Huoni kuna bias hapo? bado tu mnaruka kiunzi tena na kuleta pschological hoola hoops kwamba waonewe huruma..... hawajijui....ebo!
Huoni hayo ni fikra za Utopia? Fikra na mawazo ya ukombari? Sidhani unaona hivyo na wala siwezi badilisha doctrine yako
Hoja ambayo kwa maoni yangu ni kuwa ni ya mitazamo ya kibeberu na fikra za kibepari, nitasimama nazo. Kidete! Lema ni Kibaraka wa mabepari wa kibeberu. Nitasimama na hilo pia.👇