Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Mkuu, kila kazi hua ina health risk zake.
 
Atuonyesha kodi anazolipa serikalini ndio itakuwa uthibitisho ya kwamba anafanya kazi halali yenye kipato,vinginevyo huyu mwamba ni mpiga debe tu ndio maana kila ambae anaonekana kutishia uhai wake wa ubunge ni lazima anagombana nae mfano mchungaji Davie
 
Kongolee Lema endelea kupiga kwenye mishono, Serikali imeshindwa kutengeneza ajira za maana.
Nawashangaa wanaombeza Lema wakati anawasaidia kuwasemea.
 
Ngoja mkuu Erythrocyte aje alete mrejesho mujarabu
 
Huyo dishi lilisha cheza, hamumuelewi tu namna anavyoongea? Ni kama kuna ka waya fulani ka moto kichwani kwake kamekatika, biashara aitoe wapi zaidi ya maneno tu
 
Bora ununue mitumba kuliko nguo za Vunja bei.
Wakuu huyu bwana anayeongea kama amekatwa kichwa Arusha imejaa wauza mitumba kila kona toka ubunge wako mpaka sasa lakini haukusema ni kazi ya laana wala kuonyesha juhudi za kuwasaidia vijana wa Arusha
 
Lema anaweza kuwa na hoja, tatizo ni uwasilishaji wa hoja zake, anavyoongea namuona kama mtu anayejifikiria mwenyewe, anatakiwa aseme sasa badala ya kusajili line wafanye kazi gani nyingine ili wajikimu kimaisha.
Yeye alipokuwa mdogo alikuwa mwizi wa magari
Leo kachagua tena kuwa mkimbizi na kwenda kupokea hela ya kujikimu ambayo hawezi kuwavisha nguo watoto wote kwa mara moja zaidi ya mlo tu

Maisha ya ukimbizi nayajua sana aache ujinga kwani hata yeye watoto wake wanakula child support [emoji1063]
 
Hata canada line zinasajiliwa, na lazima watu wa kuzisajili wawepo.......bodaboda na bajaji ni mbadala wa taxi zinazotumika hata nchini canada.
 
Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.

Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa...
Hana akili taahira huyo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
 
Mdogo wangu aliajiliwa makampuni ya solar akawa anazurula kutwa nzima mwisho wa mwezi anapewa elf 30 nikamwambia acha hio kazi au nikufukuze kwangu aka anza kufuga kuku sasa hivi yupo vizuri ana duka la mtaani mwanga anauona
Ulimfungua akili
 
Mpe mwanao bodaboda Kama ni kazi nzuri u can never appreciate suffering of others if ur smart upstairs period , Lema is hating fucking life made by Ccm regime

Hao waliochukua Boba boda hawana mtu wa kumlaumu, wakati Baba yangu anatembea kwa miguu na kuongea mwenyewe akihakikisha ninasoma, kuna marafiki zangu alikuwa wazazi wao wana magari wanaendesha hawakuthamini shule.

Wakati Elimu yangu imenipa ajira, wao Baba zao walishazeeka, na wengine wamekufa kwa presha baada ya hao watoto wao kutosoma na kulazimisha kupata chochote kwa mali zao.

Kwa sasa hawana kitu, boda boda inawapa chakula, hiyo boda boda haikuwa laana, labda Baba yao hakuwa makini, na hawana namna zaidi ya hiyo boda boda.

Kuwa boda boda ni uchaguzi, ungeweza kufungua butcher, au kufanya kilimo au kuuza genge, hamuwezi laumu serikali wewe na mjinga mwenzio Lema because of your choices.
 
Hapo kwa Boda Boda na mama lishe naomba uzingatie Speed governor.
Katika hilo kundi kuna literate na illiterates.

The forementioned wana extra options sababu wako na academic certificates ambazo ni kama silaha kwa nchi yetu hii wanaajirika when neccessary.

The later wao hawana option zaidi ya kugaragara kwenye uchuuzi tu na boda boda. Watabadilisha kazi ila ni humo humo labda wahamie kwenye kuchoma kuku barabarani.

I Agree with you kuwa Lema ni duanzi na serikali lazma ifanye majukumu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…