dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Lema Ni mpuuzi mno ,vijana wakishika mapanga wanasema serekalin ya ccm haiwezeshi vijana wakifanya biashara ya bodaboda hyo Kaz Ni laaanaa jmn watu wajeukie wapiWenda ana taka waanze kukaba watu na kupiga mapanga.
vijana wa kitila mkumbo na madelu wanaendesha bodaboda au wako BOT na TRA.Kwahiyo Lema anataka kusema vijana wasijipambanie wakae majumbani?
Huyu mzee wa canada amekula maharagwe ya wapi?
Akwende zake canada huko akauze mali kwa mabeberu. Shenzi type!
Kijana anapowaza na kuchukua hatua ya kufanya shughuli isiyo ya kihalifu ili kujipatia kipato halali anakuwa kafanya uamuzi bora kabisa, kuliko kukaa bila kazi au kuwa mwizi/jambazi/kibaka/panya road.Lema Ni mpuuzi mno ,vijana wakishika mapanga wanasema serekalin ya ccm haiwezeshi vijana wakifanya biashara ya bodaboda hyo Kaz Ni laaanaa jmn watu wajeukie wapi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe mhaya na wewe ni bwege tu! Hivi hapa duniani watu wote wanaanzaga maisha na mafanikio? Hata vitabu vya dini vinasema mtu afanye kazi na Mungu atabariki kazi za mikono yake! Acheni ujinga tena nyinyi wahaya siku hizi ni maskini wa kutupwa!Mpe mwanao bodaboda Kama ni kazi nzuri u can never appreciate suffering of others if ur smart upstairs period , Lema is hating fucking life made by Ccm regime
Hawa wanasiasa wetu wasiishie tu aina tu ya shughuli wanazofanya vijana wengi siku hizi kujikimu, wageukie na hizi ajira na ujira unaopatikana katika uhalisia.Hamna ambaye hataki kijana wake apigwe kiyoyozi na kulipwa atleast million 5 kwa mwezi. Shida hizo kazi za maslahi hayo zina wenyewe.
Makapuku tunapigana vikumbo kwenye mishahara ya laki na nusu hadi laki 4. Hapo unahaso kweli ukiipata kazi ya laki 3 unashukuru Mungu unakubaliana na muhindi tu.
Kwa sasa kazi za kulipwa million 1 tu unaweza ukaota mvi hujawahi kukanyaga ofisi yeyote ile. Ni huzuni af unakuta kuna shogar mmoja anaongea mavi!
Unazungumzia zile sera za cherehani nne ni kiwanda?
Alikuwa Mkubwa kushinda police?Alikuwa mwizi wa magari na biashara zingine za michongo
Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.
Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa.
Amesema kitu pekee CCM walichoshindwa kufanya ni kutengeneza ajira za maana zaidi kwa Watanzania kujiajiri kwenye kazi duni kama bodaboda na kusajili laini.
"Nikisikia mwanangu ni bodaboda au anasajili laini inabidi atafute sehemu ya kukaa, kwangu simtaki tena," alisema Lema.
Mwamba kaamua sasa.
Hili sio kweli mkuu fanya uchunguzi zaidi, sio kenya nao jua mimi.Mtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012
Tofauti:
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316
Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000
Swali : Kenya wanachota gesi baharini?
Erythrocyte
yu wapi sabaya?Lema Ni tapeli mwandamizi Eti anapamban na nabii geo davi Siasa simemshinda SAS anatafuta Kiki kwa kulazimisha aachne na manabii hata hvyo Jimbo Hilo Ni langu mm in 2023
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Serikali haiwezi kufanya kitu kuhusu suala la Ajira, huelewi?Ameiambia ccm ifanye kitu msianze kumshambulia.
Tatizo la maskini akiambiwa ukweli anachukia badala ya kutafakari
Tatizo la jamii yetu tunaonaga tatizo tu pasipo kujua chanzo cha tatizo, maana Leo hii role model wa vijana wengi ni wale waliopata mafanikio kwa zari Yani njia zilizofanya wakafanikiwa hamuwezi fanikiwa Kundi kubwa mfano mziki, uigizaji, mpira, at the end vijana wanashindwa komaa na njia sahihi mfano shule, au kujifunza ujuzi njia ambayo imefanikisha Kundi kubwa la watu matokeo yake vijana wanataka Short cut, udereva boda boda, akabet, sijui awe muigizaji au msanii vitu ambavuo vinawapotezea mda tuHivi wewe na Lema mnajua kwamba kuna watu wanalipwa elf 4 kwa siku na wengine elfu 6 katika viwanda vya the so called matajiri wa kibongo bongo hawa?
Lema anatambua kuwa kuna graduates wanalipwa laki 2 kwa mwezi katika situation hii ambayo nauli zinakaribia buku na bei ya nafaka kwa kilo ni zaidi ya dollar 1?
Mngeanza na kutatua hizi changamoto nadhani hio option mnayoifikiria ingekuwa na maana zaidi!
Haya mambo ya kuweka heading za kimtego zilianzishwa na Millardayo na sasa kila mtu ambaye ana followers kuanzia 200k anatafuta template kwa ajili ya kupost habari kwa heading tata kama hizoShida ni kwamba na wanaoleta taarifa za Lema humu wanadokoa statement tata wanaleta hivyohivyo bila maelezo ya ziada au source of information,watu wanaanza kujadili kila mtu na fikra zake.
Mfano kuna Uziuliwekwa humu,Lema kasema kujenga ukuta Mererani ni ushamba(hio ilikuwa heading)ila source haikuwekwa,nilipofualitilia ni kweli alisema hivyo ila kuna maelezo mengi alitoa kuhusu hilo na alitoa ushauri mzuri tu,na akasema kwa kuwa viongozi wote wapo Arusha(semina) atawashauri mawazo yake.
Nadhani tunahitaji media serious imualike kwa mahojiano atoe ufafanuzi juu ya kauli zake hizi,tujue hasa anamaanisha nini.
Leo East Africa radio walikuwa na uongozi wa Bodaboda Dar,wale viongozi nao walilaumu hio kauli wakisema kwamba watu wanasomesha wanajenga na kwa siku boda hakosi 30,000(Siku mbaya) kwamba kwa mwezi hakosi 800,000 na kwamba wanawazidi hata kada fulani ya waajiriwa serikalini.
Baadae mtangazaji akaanza kuwadadisi,kama mna kipato hicho inakuwaje mnakosa bima ya afya ya 600,000 kwa mwaka?wakaanza bla bla kwamba hio tumetaja ni kama ukiweka akiba,wakaambiwa kwa takwimu za muhimbili kila siku wanapokea majeruhi 6 wa bodaboda pale,wakadai eti hao sio bodaboda ila ni vijana wa mikoani wameletwa kubeba mayai kusambaza kitu ambacho ni uongo.
Je unaweza kufanya kazi ya Bodaboda kuanzia ujana hadi uzee?Je utapenda mtoto wako arithi kazi yako? hawakuwa na majibu ya maana.
Ukweli ni kwamba kauli ya Lema kwa juu juuu inakera ila ukiingia ndani ukweli upo,Ilikuwa wamtafute Lema bahati mbaya naona hawakufanikiwa mpaka kipindi kinaisha.
Hapo mambo yako bayana kabisa, yani kazi hizo ni hand to mouth.Tatizo la jamii yetu tunaonaga tatizo tu pasipo kujua chanzo cha tatizo, maana Leo hii role model wa vijana wengi ni wale waliopata mafanikio kwa zari Yani njia zilizofanya wakafanikiwa hamuwezi fanikiwa Kundi kubwa mfano mziki, uigizaji, mpira, at the end vijana wanashindwa komaa na njia sahihi mfano shule, au kujifunza ujuzi njia ambayo imefanikisha Kundi kubwa la watu matokeo yake vijana wanataka Short cut, udereva boda boda, akabet, sijui awe muigizaji au msanii vitu ambavuo vinawapotezea mda tu
Boda boda haiwezi kufanya ukawa na kipato imala Cha kubadilisha maisha zaidi ya kupata pesa ya kula tu, kununua sabufa za mchina, frat screen za mchina, sofa za magumashi, ukala wali maharage usiku ukajiona umeyaweza maisha ila ukiumwa week mbili tu upo ndani unaanza kuuza vitu vyako
My take
Shughuli ambayo utaugua ukalala ndani wiki moja familia ikaanza. Kupata shida ya pesa za matumizi siyo ajira hiyo acha
Sio ropo ropo ni ukweli mtupuAna paswa azingatie kauli za kuzungumza yeye kama mwanasiasa asiwe ropo ropo.
Ukweli upi ?Sio ropo ropo ni ukweli mtupu