Tanguliza Mungu kuwa umeoteshwa, watanzania watabadilika! Kama wanawaamini wahuni kuwa ni manabii/watume wa Mungu why not him! Watu wanaamni kukanyaga mafuta kutawaletea neema hao waambie lolote husisha na mungu watakufuata
CCM kama ilivyo ni Laana kuu..Wewe na family yako ndio mna laana walahi [emoji35]
Acha kuitikana nchi, kwani imekulosea nini?
Bipolar psychopath kabisa wewe[emoji35]
Lema ni mjinga.LEMA toka arejee toka canada amekuja na mambo mapya ambayo ni
1: Watu ni washamba
2: Watu ni maskini
3: Boda boda ni Laana
4: Vikoba mke wangu hawezi shiriki
5: Ugali ni chakula cha Maskini
6: Mimi ni Mchagga
Matusi ya nini, si utoe hoja yako bila matusi. basi sasa Idiot mama yako aliyekuzaaAcha upumbavu wa kutumia neno Watanzania, hivi wewe mjinga unajua kuwa mdomo unaumba? Sema ‘kuna watanzania wengine’
Lakini usituweke sisi wengine kwenye malaana yako[emoji35]
Idiot!
sikuwa kazinisijaona major , middle/minor statement and conclusion.........
notedsikuwa kazini
Hoo wengine watakuwa ni ma slow learnersHuyo mchizi mimi ananishangaza kakaa Ulaya mwaka mmoja tu anajifanya anajua na kwamba ana majibu ya mambo complex, kuna watu wameishi USA au Ulaya kwa Wazungu miaka hata 40 na wako kimya yeye mwaka tu tayari anajiona anajua kila kitu, na ana majibu yote.
Tatizo hapo huo moto wake unawagusa moja kwa moja wafanyaji wa hizo kazi za kishenzi kuliko hata hao ambao pengine amewakusudia.Lema aongeze sindano nyingine, bado kuna kazi zingine za kishenzi zipo ingawa zinaonekana ni njema, huko nako akawashe moto msitu huo majoka yenye sumu kali yatoke
Maofisa usafirishaji [emoji23]Waambie bodaboda kuwa kazi yenu ni nzuri inalipa, mtakuwa matajiri wakubwa. Endeleeni kwa bidii, itawatoa. Wanataka kusikia hilo.
Kitokacho mdomoni hakirudi: ufanyeje: waambie nimebadilisha maoni, Mungu amenifunulia na kuniotesha. Kazi yenu imebarikiwa, mtakuwa matajiri wakubwa. Umemaliza mkwaruzano/mtifuano.
Si ana migodi hadi alikuwa anavaa baibui ili aende kutizama migodi yake.Lema hakuwawi kuwa mkweli hata siku moja .Jitu linaishi kwa ajili ya siasa halitaki watu wajue kuwa shibe yake inatokana na siasa na hana kazi yoyote ile ya kumwingizia kipato
Unarudi pale pale pa mwenye kuleta uzi. Yaani ukweli usemwe kuwabadilisha watu kiafya ya maisha,! Ni Yale mazoea ya kule bungeni mbunge alisema ukweli na uwazi utasikia aitwe kujieleza!!Huyo mchizi mimi ananishangaza kakaa Ulaya mwaka mmoja tu anajifanya anajua na kwamba ana majibu ya mambo complex, kuna watu wameishi USA au Ulaya kwa Wazungu miaka hata 40 na wako kimya yeye mwaka tu tayari anajiona anajua kila kitu, na ana majibu yote.
ni kweli, majoka yenyewe huwa yanatoka yamefura kwa sumu kaliTatizo hapo huo moto wake unawagusa moja kwa moja wafanyaji wa hizo kazi za kishenzi kuliko hata hao ambao pengine amewakusudia.
Ccm mlivyo wajinga mmegeuza Mheshimiwa Lema kuwa agenda! Lema alishindikana Bungeni, ni charismatic, tafuteni mengine achaneni na Lema.