Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Tanguliza Mungu kuwa umeoteshwa, watanzania watabadilika! Kama wanawaamini wahuni kuwa ni manabii/watume wa Mungu why not him! Watu wanaamni kukanyaga mafuta kutawaletea neema hao waambie lolote husisha na mungu watakufuata

Acha upumbavu wa kutumia neno Watanzania, hivi wewe mjinga unajua kuwa mdomo unaumba? Sema ‘kuna watanzania wengine’
Lakini usituweke sisi wengine kwenye malaana yako[emoji35]
Idiot!
 
LEMA toka arejee toka canada amekuja na mambo mapya ambayo ni
1: Watu ni washamba
2: Watu ni maskini
3: Boda boda ni Laana
4: Vikoba mke wangu hawezi shiriki
5: Ugali ni chakula cha Maskini
6: Mimi ni Mchagga
Lema ni mjinga.
 
Acha upumbavu wa kutumia neno Watanzania, hivi wewe mjinga unajua kuwa mdomo unaumba? Sema ‘kuna watanzania wengine’
Lakini usituweke sisi wengine kwenye malaana yako[emoji35]
Idiot!
Matusi ya nini, si utoe hoja yako bila matusi. basi sasa Idiot mama yako aliyekuzaa
 
Huyo mchizi mimi ananishangaza kakaa Ulaya mwaka mmoja tu anajifanya anajua na kwamba ana majibu ya mambo complex, kuna watu wameishi USA au Ulaya kwa Wazungu miaka hata 40 na wako kimya yeye mwaka tu tayari anajiona anajua kila kitu, na ana majibu yote.
Hoo wengine watakuwa ni ma slow learners
 
Lema aongeze sindano nyingine, bado kuna kazi zingine za kishenzi zipo ingawa zinaonekana ni njema, huko nako akawashe moto msitu huo majoka yenye sumu kali yatoke
Tatizo hapo huo moto wake unawagusa moja kwa moja wafanyaji wa hizo kazi za kishenzi kuliko hata hao ambao pengine amewakusudia.
 
Waambie bodaboda kuwa kazi yenu ni nzuri inalipa, mtakuwa matajiri wakubwa. Endeleeni kwa bidii, itawatoa. Wanataka kusikia hilo.

Kitokacho mdomoni hakirudi: ufanyeje: waambie nimebadilisha maoni, Mungu amenifunulia na kuniotesha. Kazi yenu imebarikiwa, mtakuwa matajiri wakubwa. Umemaliza mkwaruzano/mtifuano.
Maofisa usafirishaji [emoji23]
 
Lema hakuwawi kuwa mkweli hata siku moja .Jitu linaishi kwa ajili ya siasa halitaki watu wajue kuwa shibe yake inatokana na siasa na hana kazi yoyote ile ya kumwingizia kipato
Si ana migodi hadi alikuwa anavaa baibui ili aende kutizama migodi yake.
 
Huyo mchizi mimi ananishangaza kakaa Ulaya mwaka mmoja tu anajifanya anajua na kwamba ana majibu ya mambo complex, kuna watu wameishi USA au Ulaya kwa Wazungu miaka hata 40 na wako kimya yeye mwaka tu tayari anajiona anajua kila kitu, na ana majibu yote.
Unarudi pale pale pa mwenye kuleta uzi. Yaani ukweli usemwe kuwabadilisha watu kiafya ya maisha,! Ni Yale mazoea ya kule bungeni mbunge alisema ukweli na uwazi utasikia aitwe kujieleza!!
Sasa waTanzania tutaendelea kuishi Kwa uongo kudanganyana hadi lini?

Nikuulize wajua wapi aliko Musiba aliyekuwa anapopoma kila siku?? Yuko wapi bwana huyu??

Hakuna swala la kuishi ulaya miaka 10 Wala 20. Kama hao.unaowadhania ukasoma waje hadharani watoe yaliyojo moyoni au wanayoyaelewa yanayokera wananchi na jinsi wanavyoona ubadhirifu nakuhakikishia watasema mengi ambayo yataliza wengi.

Yako mambo mengi tu yanayolididimiza Taifa na watu wake hasa vijana wa leo!
Usifhani wamekaa kimya wako waliojitokeza kusema sana ila basi tu hakuna amfungaye paka kengele.
Msiwatie waTanzania kwenye dira ya KATIBA KATIBA KATIBA Kwa mambo ya waNabodaboda!.
 
Yeye akiongea anasema ni ukweli na ni sawa.

Ila alipokua anaongea Magufuli alizushiwa ikiwemo yeye Lema kuongea mengi mno.

Binadamu ni wabinafsi na wanafiki sana.
 
Tatizo hapo huo moto wake unawagusa moja kwa moja wafanyaji wa hizo kazi za kishenzi kuliko hata hao ambao pengine amewakusudia.
ni kweli, majoka yenyewe huwa yanatoka yamefura kwa sumu kali
 
Akielezea kuhusu Mfumuko wa Bei ya Ugali na Maharage Lema amewataka Watanzania wajitathmini kwa upya

Lema amesema bei zinapanda kila siku halafu unaona akina mama wanaenda kwa Mitume na manabii kuombewa badala ya kuibana CCM

Sipo hapa kutafuta Umaarufu bali kuitetea Haki na kuwaambieni Ukweli' Ili Ukweli' huo uwaweke Huru

Umaskini Siyo Baraka wala Sifa

Wednesday Ubarikiwe!
 
Kwenda majuu ukiwa mtu mzima ni shida aisee ,huyu Lema tangu arejee toka ugaibuni kaja kivingine kabisa na amemaua kuwaonyesha watanzania kuwa ;
1:Washamba,
2:Maskini
3:Bodoboda ni laana
4:Mke wake hawezi shiriki vikoba
5:Ugali ni chakula cha Maskini
6:Yeye hana shida bali watanzania ndio wenye shida
7: Yeye ni Mchagga
 
Naona LEMA ameishiwa hoja za maana sasa japo George Davie nae ni Msanii tu
 
Kitengo wamempa hiyo kazi!Lema hakurupuki.Huyo Nabii wenu kazi anayo.
 
Back
Top Bottom