Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

  • Sababu ndio ilikuwa hiyo, alivaa baibui Ili iwe rahisi kufika kwenye mgodi Wake, kama una sababu nyingine hizo Baki nazo
  • Kuvaa baibui mbona pia Mgombea wa ACT pangani alivaa baibui Wakati wa kurudisha Fomu ya Ugombea Ubunge wa Pangani, alivaa baibui Kwa sababu CCM Kwa kushirikiana na Police walikuwa wanapiga Fomu wagon eat wa Vyama vingine wenye nguvu Ili wapite bila kupingwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020
Mtasema yote sasa hivi. Kumbe ndio maana mnatetea lgbt
 
Kama kaweza kuvaa baibui basi kuna vingine anafanya, ni suala la muda tu kabla hatujajua sababu ya kuwatetea lgbt
Hebu fungua hiyo unieleze umegundua nini? Na nini maoni yako?
 
Mtu akikuambia amewahi kubakwa, hata akikupa sababu inasaidia nini ikiwa kishabakwa?
Weka reference inayoendana na hoja yako! Usitoe hbr nusunusu hiyo ndio mantiki yang, umeona ni vyema humu tujadili hbr ya Lema kuvaa baibui bas weka hbr kamili tujadili!!
 
Kuna mtu anavaa nguo fulani bila sababu? Hata wanaovaa suti au Madera huwa na sababu


Sasa ndio ujikite kwenye hiyo sababu na sio kujikita kwenye uvaaji tu, yaani ni kitu gani kilipelekea hadi huyo ndugu akaamua kuvaa baibui??.
 
Kuna watu watauliza kama watoto wa Lema nao wanaendesha boda au lah 😄
Hata wa kwangu hawawezi kuendesha hizo bodaboda.
Lema kasema ni laana na ni laana kweli, hiyo kazi ni ya kuganga njaa tu baada ya Kila kitu kufeli
 
Siasa sasa zimegeuka kuwa masikhara, yaani suala la bodaboda nalo limekuwa ndiyo gumzo kuu la kisiasa. Hivi hapo usalama wa Rais upo wapi!?

 
Mtoa mada mtafute Shekhe Ponda atakuambia ama tafuta historia za siasa za Zanzibar jinsi hilo vazi lilivyowasaidia. Acha gubu Rama Agger.
Nakupa historia tu ya Zanzibar baada ya kifo cha mfalme Seyyid Said, watoto wake wawili Majid na Barghash walikuwa wanagombea utawala lakini Waingereza walimtaka Majid kwa vile alikuwa ni mtu maridhia sana kwa amri za Waingereza. Waingereza walipomuona Barghash ni msumbufu walimueka kwenye 'house arrest' kwa kutarajia kuwa pale chakula kitakapokwisha kwenye nyumba yake basi angejisalimisha.

Ulizuka ugomvi mkubwa baina ya ndugu hawa wawili ambao pia ulihusisha ndugu zao wa kike kuwasupport Barghash au Majid. Mdogo wake Barghash (Khole) alifanya mipango ya kumuondoa Barghash kwenye lile jumba alilowekwa house arrest. Alikwenda na kikundi cha akina mama wenzake na alipofika kwenye geti aliwaambia walinzi tunataka kumuona Barghash lakini wale walinzi (askari wa kihindi kutoka Baluchistan) walikataa kuwaruhusu. Yule dada yake (Khole) aliwatishia askari kwamba kama wasingewaruhusu basi wangevua nguo zao hapo hadharani.

Masikini askari wale waliogopa sana na kuwaruhusu waingie kumwona kaka yao, kumbe Khole alikuwa amebeba baibui la spare na alimpa Barghash avae ili waondoke nae. Barghash kwanza alikataa lakini baadae alivaa na akajichanganya na wale wakina mama wakaondoka nae kutoka kwenye lile jumba, haoooooo.
 
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
mbona unakatisha hoja yake?

amesema ilimlazimu kuvaa baibui akienda kukagua machimbo yake ya madini kipindi cha magu ili asitambulike kutokana na hofu ya usalama wake.
 
Hili swali japo bado halijajibiwa na Prof Kitila Mkumbo lakini linafikirisha sana

Watoto wa Viongozi

Mungu wa mbinguni awabariki!

Siyo hiyo tu bwasheee hata hii ya elimu bure ,mbona watoto wao hawawapeleki shule za kata za elimu bure? Wanasiasa design ya kitila ni wanafiki hawafai....Hakuna mwanasiasa ambaye anayejigamba kwamba serikali imeboresha elimu hadi imekuwa bure akimpeleka mwanae kwenye hizo shule.
 
Mjadala huu nimkubwa sana kiukweli watu wa CCM watapinga sana ila kiukweli nikua nchi hii panahitajika maandamano makubwa yakupinga ubaguzi naupendeleo wakazi, kazi zenye maslahi mazuli niza watoto wa vigogo ukiangalia bandalini ni watoto wa vigogo tu , Airport watoto wa vigogo maeneo yote yenye maslahi niwatoto wa vigogo, hawa ukileta mada yakuwaelimisha wananchi juuu yamadhala yakazi wanazofanya kama bodaboda watapinga vikali maana wanaona unaanza kuifumbua macho jamii.
 
Back
Top Bottom