DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Bodaboda 😍 wanatuwahisha sana siteFaamasiala nini 😀😀😀 sasa utachagua ukabebe makreti kwa Mo au uendeshe boda boda kwa masaa hayo hayo upate elfu 30.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda 😍 wanatuwahisha sana siteFaamasiala nini 😀😀😀 sasa utachagua ukabebe makreti kwa Mo au uendeshe boda boda kwa masaa hayo hayo upate elfu 30.
Lema akili hana nimemuona mshamba sana kama kila jambo anajifanya amelibaini baada ya kufika CanadaUnaposema boda boda ni kazi ya laana, kusajili laini ni kazi ya kipuuzi hutaki mwanao umuone anaifanya utamfukuza kwako, vikoba ni laana sijui hutaki mkeo ajihusishe navyo kabisa...
Wanasaidia sana japo ni very risky, jana usiku ilikuwa nimuue moja na abiria wake Morogoro road. Anakuja site ambayo gari zinaenda namie ndio nimechomoa gari naikata Eiecher ile narudisha upande wangu tu huyu hapa nikapiga brake ghafla ndio pona yake. 🤣🤣🤣Bodaboda 😍 wanatuwahisha sana site
Lema anasema zinatakiwa winchi kubeba makreti, sio watu,, maana huo mi utwana,Faamasiala nini 😀😀😀 sasa utachagua ukabebe makreti kwa Mo au uendeshe boda boda kwa masaa hayo hayo upate elfu 30.
Solution lipo ndio maana lema anaongea hivyo solution ni kuwa na mifumo sahihi ya kuandaa vijana katika soko la ajira zenye tija sawa suala la ajira ni changamoto lakini je hakuna ujuzi ambao unaweza kutolewa ili kijana aweze pambania kombe hata nje ya mipakaKaka wewe na Lema toeni solution, stop the complains and blame game. Hamna ambaye haelewi kuwa bodaboda sio career.
Kama maisha ni marahisi waachieni boda boda ofisi hizo nyie mkapambane mtaani kama wengi wenu hamjakimbilia hizo hizo boda boda. 🤣🤣🤣
Mshamba haswaa na kumpa madaraka mtu kama Lema ni kujitaftia mabalaa maana anajiona yeye sasa anajua kuliko kiumbe chochote. Yeye ndio mtoto wa mjini kuliko wote Arusha. Hopeless kabisaLema akili hana ,nimemuona mshamba sana kama kila jambo anajifanya amelibaini baada ya kufika Canada
USSR
Hadithi yako imeishia sehemu ya ngapi?Bodaboda 😍 wanatuwahisha sana site
Maisha yetu magumu sana lakini hamna mzazi anayelipa ada ili mwanae aje kuwa bodaboda.
Hamna mzazi anayepata mimba na kuwish atakaye mzaa aje kusajili line
Ukisikiliza maneno ya Lema Unaweza kufikiri siasa ni simple na kila mtu anaweza kufanya siasa anaorodhesha matatizo alafu haji na solutions alafu anajisifu anawasaidia wananchi kuondokana na umasikiniUnaposema boda boda ni kazi ya laana, kusajili laini ni kazi ya kipuuzi hutaki mwanao umuone anaifanya utamfukuza kwako, vikoba ni laana sijui hutaki mkeo ajihusishe navyo kabisa.
]
Hivi Bado unapoteza mda kufuatilia huyo KIJANA aitwae Lema? Tumuombe Lema atusaidie huko kanada alikua anafanya KAZI gani kwanzaaUnaposema boda boda ni kazi ya laana, kusajili laini ni kazi ya kipuuzi hutaki mwanao umuone anaifanya utamfukuza kwako, vikoba ni laana sijui hutaki mkeo ajihusishe navyo kabisa.
From a standing point wewe ni mkimbizi wa kisiasa umebebwa huko Canada for over a year. Umepata PR na familia yako na privileges nyingi huko. Umeyaona maisha kwa utofauti hilo hatukatai. Najua kwa sasa wewe watoto wako wanaweza wakaishi huko Canada for whatever reasons, huko ada hazilipwi ni serikali kila kitu. Mzazi kazi yako ni kulipa kodi ya nyumba na utilities tu.
Viwanda na Private companies ziko kibao kiasi kwamba ishu ya kupata cha kufanya wakimaliza vyuo ni wao kuamua tu kukaa kwenye corporate sphere, kwenda kuuza migahawa, kukwangua mabarafu na kutawaza wazee.Maybe sio kazi za hovyo atleast kwa uchumi wa Canada maana hata wazungu wenyewe wa huko hawazitaki.
That being said, wewe unapata wapi guts za kusema kuwa Watanzania wanafanya kazi za laana esp. Boda boda, wasajili line na wauza mboga wanaocheza vikoba? Okay, hizo kazi ni za laana atleast kwa fikra zako lakini ushajiuliza kuna ugumu kiasi gani kwa hapa Tanzania when it comes to making ends meet?
Sidhani kama una idea kwamba graduate aliyemaliza chuo anaetoka familia hohehae anapitia ugumu kiasi gani na fedhea ilioje pale anapokosa ajira na hana mtaji! Usicheze na maisha ya watu kabisa, huna ajira una mke na mtoto huna chanzo cha pesa unafikiria kitakachofuata nini?
Utakaa chini unaangalia familia iangamie? Boda boda ndio quick fix ya maisha yetu ya dhiki walau familia zile na maisha yaende, vikoba ndio quick fix ya mikopo ya benki bila masharti magumu.
Toa solution watu wafanye nini baada ya kuachana na hizo kazi za laana. Sio unaropoka hovyo tu bila kuwa na substance. Tanzania sio Canada watu wanakolipwa dollar 15-20 kwa kazi ya saa 1. Huku unapigishwa mzigo masaa 12 unalipwa elfu 4 na hamna kitu utaongea.
Hivi wewe na Lema mnajua kwamba kuna watu wanalipwa elf 4 kwa siku na wengine elfu 6 katika viwanda vya the so called matajiri wa kibongo bongo hawa?Solution lipo ndio maana lema anaongea hivyo solution ni kuwa na mifumo sahihi ya kuandaa vijana katika soko la ajira zenye tija sawa suala la ajira ni changamoto lakini je hakuna ujuzi ambao unaweza kutolewa ili kijana aweze pambania kombe hata nje ya mipaka
Hao boda boda anasema tukisema leo waliosoma na wenye sifa za kupata ajira za ofisini ni asilimia 10 tu wengine hata darasa la Saba hawajamaliza umeona, kwakua ni kazi ya kukaa kijiweni basi wengine hawataki kwenda hata shamba kulima wengine hawataki hatakukaa wakajifunza ujuzi
Sasa wewe ulitaka wafanyaje?Maisha yetu magumu sana lakini hamna mzazi anayelipa ada ili mwanae aje kuwa bodaboda.
Hamna mzazi anayepata mimba na kuwish atakaye mzaa aje kusajili line
Huyu mbulula ananitia gesi sana kila nikiona uzi wake. Anaongea pumba tuHivi Bado unapoteza mda kufuatilia huyo KIJANA aitwae Lema?? Tumuombe Lema atusaidie huko kanada alikua anafanya KAZI gani kwanzaa
Hicho chama kikipata madaraka hakina watu wa kushika nyadhifa,hata Kama patakua na wizara kumi tu, CCM waendelee tu kutawala hata kwa kuiba kuraExactly, he lacks substance!
HahahahahahNdio madhara ya kwenda abroad kuishi haya,ukirudi kila mtu unamwona mshamba,kapitwa na wakati,ananuka,hana elimu wala hana future[emoji28][emoji28].
Kama ana watu wa karibu aambiwe apunguze speed barabara sio ndefu mbele na haijanyooka sana.