Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha.

Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika.

Kama kawaida yetu tutakuwepo hapa kukulete kila kinachojiri.

Usiondoke JF.



Lissu kazini


=======

Viwanja vya reli vimejaa kabisa na hakuna nafasi tena , Kama umechelewa simama hapo hapo ulipo au rudi nyumbani , tafadhari sana

 
Hapa Tanapa ni manyimbo ya Ukombozi nyomi inatiririka kama siafu watu wa DukaMbovu tupo hapa Mzuka mzuka...
Tuache utani hili chama limo mioyoni mwa watu..

Kuna watu wamepora msiba ila kokoro la mafuriko linakwenda kusomba wote na kutapika kwenye viwanja vya relini ...mzuka ni mkubwa sana hapa...nalile goma la Chadema Chadema pipzpowa

Jombaa hainambishi babalakee maharakati chaliiakee kwa Madiba na maminyororo

Chadema ina nguvu hatari Msibani ulioporwa watu wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…