Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Bei ya Sukari haikuhusu?Acha mbambamba weka picha kuunganisha dot kwamba, "Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika"
Unaishi kwa Shemeji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ya Sukari haikuhusu?Acha mbambamba weka picha kuunganisha dot kwamba, "Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika"
Hao ni akina KKB kula kulala bureBei ya Sukari haikuhusu?
Unaishi kwa Shemeji?
Watu wengi ni kuanzia Wawili bwashee 😂😂😂Ndugu achaga uongo haukusaidii na ndiyo maana kuna wanazi wa siasa huwa wanawasaidia kuweka ukweli mnawakasirikia.
Unaposema "Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika" mbona hatuoni kitu cha kututhibishia hilo au huna smartphone?.
Wakirusha drone kuwananga na uongo wako unavimba kuwa hujuma huku wewe mwenyewe unaandika hujuma kwa raia how?.
mkuu mbona sukari tunaipa kipaumbele sana?? Ni watanzania wangapi wanatumia sukari? Nchi hii inamatatizo na changamoto nyingi,Bei ya Sukari haikuhusu?
Unaishi kwa Shemeji?
Sukari ni mfano tu......kuna shida nyingo mno.mkuu mbona sukari tunaipa kipaumbele sana?? Ni watanzania wangapi wanatumia sukari? Nchi hii inamatatizo na changamoto nyingi,
mkuu mimi nimeanza mapambano ya kujitafutia enzi za jk mwishon mwa utawala wake naiona tofauti kubwa sana. Yani kujenga kibanda chako cha mbavu zako kwa sasa ni mbinde wamekaba kila kona hata kile kidogo unachokipata wanakitakaSukari ni mfano tu......kuna shida nyingo mno.
Wenyewe wako bize kusifiana tu kwa kuwa wanakula Kodi zetuDawa za meno ndogo tunauziwa 5500 kutoka elfu 3 bei ya zamani yani unalazimika uuze rejareja mia 6 kwa pisi uambulie buku tu, katoni ndogo za juisi tunauziwa elfu5 rejareja uuze jero uambulie buku hapo hujapoza, usafiri, kodi ya pango n.k hapo utatoboa lini mwananchi mwenye mtaji mdogo?. Pesa imebaki kwa wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa mafisadi sisi wacha tuendelee kuganga njaa
Wewe ni Malaya wa kisiasa!!Unasokomezewa kidogo na CCM huwezi kuelewa.Acha mbambamba weka picha kuunganisha dot kwamba, "Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika"
TUPINGE UFUKARA NA HALI NGUMU KWA KUJITEMBEZA MABARABARANI BILA KUFANYA KAZI KWA JUHUDI NA MAARIFA,Kama ilivyoelezwa tangu awali , Hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha , Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha .
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika .
Kama kawaida yetu tutakuwepo hapa kukulete kila kinachojiri
Usiondoke JF
wamekabidhi rasilamili zetu kwa wageni wamesainishana mikataba ya kifisadi wanagawana pasent wew utaendelea kuhubiriwa nchi hii inatajiri wa mali lkn wanufaikaji ni viongozi wachache...Wenyewe wako bize kusifiana tu kwa kuwa wanakula Kodi zetu
Unateseka ukiwa wapi??Wasalimie majini wenzeo hapo LumumbaTUPINGE UFUKARA NA HALI NGUMU KWA KUJITEMBEZA MABARABARANI BILA KUFANYA KAZI KWA JUHUDI NA MAARIFA,
N. B, - YAANI WATANZANIA WAACHE KUFANYA KAZI WADANGE MABARABARANI, TUMEWAELEWA CHADEMA,
MACHALII ZANGU WA AR NI WAJANJA SANA SIAMANI KAMA LEO WATASWAGWA CHA UMBE / KAMA NGOMBE, SALUTE CHALII ZANGU, MAMBO YA KIJINGA HAYA, WAGAWANE MAPOSHO KUSWAGWA MSWAGWE MACHALII ZANGU.
Jambo hili mnalolifanya CHADEMA ni upako wa kuikomboa nchi kutoka kwenye lindi la unyonge, kukandamizwa na kukosa utawala bora.Kama ilivyoelezwa tangu awali , Hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha , Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha .
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika .
Kama kawaida yetu tutakuwepo hapa kukulete kila kinachojiri
Usiondoke JF
Nipo duka bovu KAMANDA tunakinukishaHapa Tanapa ni manyimbo ya Ukombozi nyomi inatiririka kama siafu watu wa DukaMbovu tupo hapa Mzuka mzuka...
Tuache utani hili chama limo mioyoni mwa watu..
Kuna watu wamepora msiba ila kokoro la mafuriko linakwenda kusomba wote na kutapika kwenye viwanja vya relini ...mzuka ni mkubwa sana hapa...nalile goma la Chadema Chadema pipzpowa
Jombaa hainambishi babalakee maharakati chaliiakee kwa Madiba na maminyororo
Acha kuwajaza ujinga!, hayo yote yanatatuliwa kwa kufanya kazi kwa bidii, unlikewise "wanadanga"Jambo hili mnalolifanya CHADEMA ni upako wa kuikomboa nchi kutoka kwenye lindi la unyonge, kukandamizwa na kukosa utawala bora.
Hadithi yenu itaandikwa kwa wino wa dhahabu kwenye historia ya Tanzania
Naambiwa watu wako kibao, Nina ndugu yangu huko Arusha maeneo ya mbauda, anasema ni wengi mno asubuhi hii, kabla hawajaanza kuondoka kituo Cha kuanzia. Ukweli ni kuwa cdm imeshakuwa na watu, na hakuna uwezo wa kuwapunguza tena.Leo maandamano yako nyumbani, ngoja nipige simu huko nipate taarifa za uhakika za kinachojiri.