TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Sawa!.Wewe ni Malaya wa kisiasa!!Unasokomezewa kidogo na CCM huwezi kuelewa.
Ila ukweli unasimama palepale hata ukitusi hadi unatokwa damu za siku zako!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa!.Wewe ni Malaya wa kisiasa!!Unasokomezewa kidogo na CCM huwezi kuelewa.
Sawa.Relax mkuu,maandamano haya wewe hayakuhusu sasa unakerwa na nini?endelea kula mayai ya shemeji yako, ILA tambua huku Nyalamatata watoto wanalimia meno kwenye Tanzania yetu hii
Kwanini isiwafuatilie wanaoficha Sukari na wanaoiba Mafuta ya Transforma?Mnafuatiliwa kwa karibu. Intelijensia ipo kazini
Kama CCM?Leta picha msije mkabeba watu toka Manyara uko
Fair enough, wewe ukweli gani unaoutaka?,maandamano sio lazima yapimwe na idadi ya waandamanaji, elewa historia inatueleza maandamano ya yule mke wa mfalme aliyepinga raia kuongezewa kodi, na mme wake (mfalme)akampa sharti la kutembea uchi hadi kwa market place, queen 👸 alifanya hivyo na raia wote wa jiji lile, walijipanga mstari na queen kupita katikati yao akiwa uchi, na NO ONE aliinua macho yake kumwangalia uchi wa queen, na kodi haikupanda,soweto 1976 students uprising ilianza na wanafunzi wachache pale Orlando's west secondary school, na ukawa ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa National Party, wewe dot.com endelea kula vya shemeji na dada yako, acha majasiri waipiganie Tanzania ya wote, nini ccm wameifanyia nchi hii kwa more than 60yrs ya utawala wao, niambie hapaSawa.
Ila ukitaka usipingane na uongo sema kile unachooana kinafaa kwako na ni ukweli.
Mkiandika uongo wapo watakao andika ukweli kutokana na uongo wenu.
Matusi hayatakuja kuleta nuru kwenye giza mliomo nyie madogo mpo gizani alafu mnataka nuru kwa nguvu NO!.
Unataga?Sawa.
Ila ukitaka usipingane na uongo sema kile unachooana kinafaa kwako na ni ukweli.
Mkiandika uongo wapo watakao andika ukweli kutokana na uongo wenu.
Matusi hayatakuja kuleta nuru kwenye giza mliomo nyie madogo mpo gizani alafu mnataka nuru kwa nguvu NO!.
Sasa hapo mbona unaniunga mkono alafu unaleta lugha chafu?.... ,maandamano sio lazima yapimwe na idadi ya waandamanaji, ...
Habari ya hapo Arusha wamba,tupo pamoja na watz wote,tuwakilisheni tupo mioyoni mwenu🤓Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha.
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika.
Kama kawaida yetu tutakuwepo hapa kukulete kila kinachojiri.
Usiondoke JF.
View attachment 2918030View attachment 2918031
Jiji LIMETAPIKA...Hatimae Wananchi wa Arusha wamepata FURSA ya kuonyesha HISIA zao.
Mama kuwa makini na MACHAWA yanayokwambia kuwa hali ni SHWARI na Wananchi wameshiba na wanafuraha SIO KWELI HALI NI NGUMU NGUMU KWELI KWELI KWA SASA MLO MMOJA NI ANASA.
Jiji LIMETAPIKA...
Kweli?Fair enough, wewe ukweli gani unaoutaka?,maandamano sio lazima yapimwe na idadi ya waandamanaji, elewa historia inatueleza maandamano ya yule mke wa mfalme aliyepinga raia kuongezewa kodi, na mme wake (mfalme)akampa sharti la kutembea uchi hadi kwa market place, queen 👸 alifanya hivyo na raia wote wa jiji lile, walijipanga mstari na queen kupita katikati yao akiwa uchi, na NO ONE aliinua macho yake kumwangalia uchi wa queen, na kodi haikupanda,soweto 1976 students uprising ilianza na wanafunzi wachache pale Orlando's west secondary school, na ukawa ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa National Party, wewe dot.com endelea kula vya shemeji na dada yako, acha majasiri waipiganie Tanzania ya wote, nini ccm wameifanyia nchi hii kwa more than 60yrs ya utawala wao, niambie hapa
Kilichomfanya dhalimu apore uchaguzi ni kutokana na kutokubali ukweli wa kuwa cdm ina watu.😂😂😂
Ya kweli hayo?
Neno zuri, acha majasiri waipiganie nchi...acha majasiri waipiganie Tanzania ya wote, nini ccm wameifanyia nchi hii kwa more than 60yrs ya utawala wao, niambie hapa