Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naambiwa watu wako kibao, Nina ndugu yangu huko Arusha maeneo ya mbauda, anasema ni wengi mno asubuhi hii, kabla hawajaanza kuondoka kituo Cha kuanzia. Ukweli ni kuwa cdm imeshakuwa na watu, na hakuna uwezo wa kuwapunguza tena.
😂😂😂

Ya kweli hayo?
 
Kama ilivyoelezwa tangu awali , Hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha , Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha .

Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika .

Kama kawaida yetu tutakuwepo hapa kukulete kila kinachojiri

Usiondoke JF
acha upotoshaji, 🐒

hamna watu 🐒
 
Hapa Tanapa ni manyimbo ya Ukombozi nyomi inatiririka kama siafu watu wa DukaMbovu tupo hapa Mzuka mzuka...
Tuache utani hili chama limo mioyoni mwa watu..

Kuna watu wamepora msiba ila kokoro la mafuriko linakwenda kusomba wote na kutapika kwenye viwanja vya relini ...mzuka ni mkubwa sana hapa...nalile goma la Chadema Chadema pipzpowa

Jombaa hainambishi babalakee maharakati chaliiakee kwa Madiba na maminyororo

Watu pia waelimishwe kuwa hata hizo ajali za namna hiyo ni matokeo ya mifumo yetu mibovu ya kiuongozi.
 
Acha mbambamba weka picha kuunganisha dot kwamba, "Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika"
Relax mkuu,maandamano haya wewe hayakuhusu sasa unakerwa na nini?endelea kula mayai ya shemeji yako, ILA tambua huku Nyalamatata watoto wanalimia meno kwenye Tanzania yetu hii
 
TUPINGE UFUKARA NA HALI NGUMU KWA KUJITEMBEZA MABARABARANI BILA KUFANYA KAZI KWA JUHUDI NA MAARIFA,
N. B, - YAANI WATANZANIA WAACHE KUFANYA KAZI WADANGE MABARABARANI, TUMEWAELEWA CHADEMA,
MACHALII ZANGU WA AR NI WAJANJA SANA SIAMANI KAMA LEO WATASWAGWA CHA UMBE / KAMA NGOMBE, SALUTE CHALII ZANGU, MAMBO YA KIJINGA HAYA, WAGAWANE MAPOSHO KUSWAGWA MSWAGWE MACHALII ZANGU.
Upumbavu huu,maadam wewe shemeji yako kakuunganisha na fursa sasa unategemea kila mmoja ana fursa hiyo, ufanye kazi kwa juhudi yes hizo kazi zipo wapi?,mazingira gani mtoto wa hapa Lwegu, Unango,Kamachumu kaandaliwa ili awe ku fly mwenyewe?,eti nipo Kasumbalesa border, acha story za vijiweni, wanaovuta semi trailer Dar to Kasumbalesa border ni mashujaa, wewe ukiwa ndani ya barabara za zambia ndio utaelewa madereva wa kitanzania wana roho za ukakamavu na ujasiri, kinachowakwamisha ni lugha tu ya malkia, kinyume cha hapo hii SADC ingetawaliwa na wabongo, kwa sasa wazimbabwe ndio top dog ,reason ni queen's language ILA sio ukakamavu au ujasiri
 
Bei ya Sukari haikuhusu?
Unaishi kwa Shemeji?
Sawa!.
But uandikage ukweli acha kuchaji akili za watu dogo!.
Eti "
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika. "
 
Back
Top Bottom