Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Screenshot_2024-02-27-14-13-33-1-1.png
 
Baadae nikutane na makamanda hapo Picknic tupate Hanson's Choice. Siku wananchi wakiamua kuandamana bila shinikizo la chama chochote cha Siasa huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa CCM
 
Nenda kwenye hizo sehemu utaona kumbukumbu zake, lile jiji la queen's aliyetembea uchi kumejengwa sanamu yake kumkumbuka,ya soweto Orlando west secondary school uprising, fika soweto uone mwenyewe, elewa baada ya 1976,kukafuatwa na townships revolt, na kifo cha Chris Hanni ndio ukawa msumali wa mwisho wa siasa za kibaguzi, soma mkuu na jitahidi kutembelea dunia
 
Back
Top Bottom