Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nasubiria zile picha za juu [emoji3][emoji3]. Hongereni Arusha
Zile huwa zinapigwa na Machawa ya Tulia Ackson kwa lengo la kuonyesha kuwa zile fedha wanazogawa ili watu wasihudhurie kwenye Maandamo kwa hiyo huwa wanapiga mwanzo wa Maandamano.
 
Back
Top Bottom