Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Gambo Wala usitishike hata kidogo huo ni ukabila tu. Siku chadema wakipewa nafasi kubwa kubwa nchi imekwisha mana ukabila ndo utatawala
Ungewahi hospitali. Siyo kinachokujia akilini lazima ukilete JF. JF ipo kwaajili ya mijadala yenye mantiki.
Ulichofanya ni kuropoka!! Hujatoa sababu, wala uthibitisho, au hata msingi wa hayo mawazo yako.