Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Vyama vya upinzani havina wajibu wa kuwaletea maendeleo wananchi kwa kuwa havina bajeti. Mwenye jukumu hilo ni serekali maana ndio yenye kukusanya hela za wananchi wote bila kujali wanatoka vyama ganiArusha na Mbeya ni Mikoa ya watu wasioelewa wanachotaka na pengine Huwa Wana enjoy Kwa kuwa Wapinzani.
Wana miaka Mingi Sasa Toka wawe Wapinzani uliza Cha maana walichopata
Kiuhalisia hiyo mikoa uliyoitaja walichopata ni uwakilishi, kusemewa mambo yao bila woga. Siku hiyo chadema au upinzani ukishika serekali ndio utakuwa na haki kuwauliza hao wananchi wamepewa nini na chadema