Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Arusha na Mbeya ni Mikoa ya watu wasioelewa wanachotaka na pengine Huwa Wana enjoy Kwa kuwa Wapinzani.

Wana miaka Mingi Sasa Toka wawe Wapinzani uliza Cha maana walichopata
Vyama vya upinzani havina wajibu wa kuwaletea maendeleo wananchi kwa kuwa havina bajeti. Mwenye jukumu hilo ni serekali maana ndio yenye kukusanya hela za wananchi wote bila kujali wanatoka vyama gani

Kiuhalisia hiyo mikoa uliyoitaja walichopata ni uwakilishi, kusemewa mambo yao bila woga. Siku hiyo chadema au upinzani ukishika serekali ndio utakuwa na haki kuwauliza hao wananchi wamepewa nini na chadema
 
Kuna kipi wapinzani wanakosa nchi hii Hadi useme hivyo? Mbona nchi yetu Bado ni masikini, au huko kusiko na upinzani ndio Kuna maendeleo sana mfano Tanga na Mtwara?
Ukiwa mpinzani hasa Kwa siasa za Nchi hii unakuwa huna Cha maana utafanya kusogeza ajenda zako yaani utakuwa mpinzani tuu ila hata wewe huelewi unapinga nini 😂😂

Nchi za wanaojitambua hufanya siasa Zenye Tija na sio siasa za ushabiki wa Yanga na Simba Zenye msingi wa matumbo harafu hao mnaowaswaga huko hakuna Cha maana wanaambulia.
 
Kuna kipi wapinzani wanakosa nchi hii Hadi useme hivyo? Mbona nchi yetu Bado ni masikini, au huko kusiko na upinzani ndio Kuna maendeleo sana mfano Tanga na Mtwara?
Mtwara na Dodoma ingefaa kuwa mfano mwema
 
Vyama vya upinzani havina wajibu wa kuwaletea maendeleo wananchi kwa kuwa havina bajeti. Mwenye jukumu hilo ni serekali maana ndio yenye kukusanya hela za wananchi wote bila kujali wanatoka vyama gani

Kiuhalisia hiyo mikoa uliyoitaja walichopata ni uwakilishi, kusemewa mambo yao bila woga. Siku hiyo chadema au upinzani ukishika serekali ndio utakuwa na haki kuwauliza hao wananchi wamepewa nini na chadema
Kuyasema bila Woga sijui uwakilishi nini Tija yake kwenye maisha Yao hasa? Hivi uliwahi ona watu wanaojitambua wanafanya mambo ambayo hayana Tija kwao? Kwa nyie Wanasiasa Ina Tija Kwa sababu mnapata ugali,heshima na stahiki kadhaa ,hao wanaloana wanapata nini hasa?
 
Gambo Wala usitishike hata kidogo huo ni ukabila tu. Siku chadema wakipewa nafasi kubwa kubwa nchi imekwisha mana ukabila ndo utatawala
Mbona umetoa mlio mkali kama umebanwa na mlango?.
 
Back
Top Bottom