Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gambo Wala usitishike hata kidogo huo ni ukabila tu. Siku chadema wakipewa nafasi kubwa kubwa nchi imekwisha mana ukabila ndo utatawala
Weee utakuwa unawaza kwa kutumia kitako, kwahiyo wale wote walioandamana ni kabila gn???
 
Mwenye macho haambiwi tazama

Mlale Unono 😀
Mtajuana wenyewe huko huko,wale wanaofaidika wakaze ila binafsi hakuna mwanasiasa anaweza nivuta niache kazi zangu nimfuate labda kama nitakuwa sehemu ya wanamufaika ila sio wale wa kuambuwa kunja ngumi sijui andamana ,that nonsense siko.
 
Nyie jamaa mna mbinu elfu kidogo! Haya wamekusikia weka contacts wakutafute wenye interests zao za uchafu!
Huyo na shangaa kwanini hawapi ushauri ulio bora wa kuachana na uchafuzi na na kufanya yaliyo halisi😎
 
Gambo Wala usitishike hata kidogo huo ni ukabila tu. Siku chadema wakipewa nafasi kubwa kubwa nchi imekwisha mana ukabila ndo utatawala
Arusha na Mbeya ni Mikoa ya watu wasioelewa wanachotaka na pengine Huwa Wana enjoy Kwa kuwa Wapinzani.

Wana miaka Mingi Sasa Toka wawe Wapinzani uliza Cha maana walichopata
 
Makabila yote leo yalikuwa Mkutanoni tena Maasai ndio walioaza kulishambulia Jukwaa.

Ni bora ungekuja na Hoja nyingine.
 
Arusha na Mbeya ni Mikoa ya watu wasioelewa wanachotaka na pengine Huwa Wana enjoy Kwa kuwa Wapinzani.

Wana miaka Mingi Sasa Toka wawe Wapinzani uliza Cha maana walichopata
Kuna kipi wapinzani wanakosa nchi hii Hadi useme hivyo? Mbona nchi yetu Bado ni masikini, au huko kusiko na upinzani ndio Kuna maendeleo sana mfano Tanga na Mtwara?
 
Gambo Wala usitishike hata kidogo huo ni ukabila tu. Siku chadema wakipewa nafasi kubwa kubwa nchi imekwisha mana ukabila ndo utatawala
Unateseka ukiwa wapi mlizani maandamano hayatafanikiwa pamoja na hujuma zenu mmefeli vibaya kidampa mkuu pale Lumumba Lucas mwashambwa Leo hata nyuzi Moja hajapandisha jukwaani
 
Back
Top Bottom