Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

Tupo njiani kujumuika nanyi

 
Mapokezi ya Lema yametoa ujumbe mzuri kwa Lissu na wengine ambao sio wa kaskazini kwamba hawathaminiki. Mapokezi ya Lissu yalikuwa ya kawaida sana kiasi kwamba hata Mbowe alisusa kwenda kumpokea. Je, Lema ana thamani kubwa kuliko Lissu? Jibu ni hapana ila kwa wamiliki wa chama Lema ana thamani kubwa kuliko mtu baki Lissu. Hili ni fundisho kwa kina Sugu, Msigwa, Heche, na wakuja wengine. CHADEMA ni kaskazini wengine wote ni viherehere vyenu na kujipendekeza.
 

Pumzika mama ya Chadema siyo size yako
 
mtoa uzi weka hata picha Basi tuone wawakilishi wenzetu .mana wengine tuko mbali tunategemea uzi wako huu.tuone baazi ya wanachadema wenzetu wakipeperusha bendera na majani ya miti...
 
Lisu angeshukia KIA mapokezi yake yangetisha mno
 
Intelligence ya Chadema ni kubwa mno. Wameshampekua Lissu wakammaliza. Lissu hayuko na Chadema kwenye nyuma ya camera Ila mbele ya Camera ni Chadema. Siku si nyingi utakuja kusoma ujumbe huu na utaunga mkono nilichokisema hapa. Muda ni mwalimu mzuri na utasema.
 
wananchi wa kawaida waliokuwa wanampenda Magufuli! Wanaccm siyo wananchi wa kawaida na walikuwa hawampendi Magufuli! Jipange upya.
Mimi na familia yangu na marafiki zangu sio wana CCM lakini tulikua tunampenda Magufuli na japokua kura ya kwanza tulipiga Lowasa, usikariri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…