Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
🤣🤣Inasemekana Rais Samia naye ametua Arusha , ila bado haijajulikana kama naye atashiriki Mapokezi hayo au ana shughuli nyingine .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Inasemekana Rais Samia naye ametua Arusha , ila bado haijajulikana kama naye atashiriki Mapokezi hayo au ana shughuli nyingine .
hahaha ndicho ninachowapendeaga machali wa ara
🤣🤣🤣🤣🤣WATALII KUAHIRISHA KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA ,
🤣😆🤣🤣😆anatambulika kama Nabii wa Mungu
Video ya msiba wa Magu hiyo, wameiba wamesema yaoLiverpoolFC
Mbona kuna kitu sijakielewa! Hapo juu nimeona nyomi linakimbilia ndege tena ya ATCL,sasa hivi unasema ndege inakaribia kutua, which is which?
LiverpoolFC
Mbona kuna kitu sijakielewa! Hapo juu nimeona nyomi linakimbilia ndege tena ya ATCL,sasa hivi unasema ndege inakaribia kutua, which is which?
Kapokelewa lisu hakuna jipya
Kupokelewa lema hakuna jipya
Hiii ni Edinburgh orgNajua akili hauna lakini jaribu kujificha
Mapokezi ya Lema yametoa ujumbe mzuri kwa Lissu na wengine ambao sio wa kaskazini kwamba hawathaminiki. Mapokezi ya Lissu yalikuwa ya kawaida sana kiasi kwamba hata Mbowe alisusa kwenda kumpokea. Je, Lema ana thamani kubwa kuliko Lissu? Jibu ni hapana ila kwa wamiliki wa chama Lema ana thamani kubwa kuliko mtu baki Lissu. Hili ni fundisho kwa kina Sugu, Msigwa, Heche, na wakuja wengine. CHADEMA ni kaskazini wengine wote ni viherehere vyenu na kujipendekeza.
Hii ni baada ya Unabii wake wote kutimia[emoji1787][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38]
Hangaya apewe micHiii ni Edinburgh org
UN northern Kongo ....upo chalii aliyepanga hiyo ziara ndo ajipime.....mafuriko Kia ndo yamezidi...hata yeye bila kujuwa kajikuta katika mapokezi ya Nabiii Chadema ni upendo...tunamkaribisha sana katika mapokezi
😯😯Hii ni baada ya Unabii wake wote kutimia
Wewe ni mpuuzi wa hali juu. Hupasi kuzingatiwa.Mimi nimeishi Arusha Wala usitake tuseme mengi hapa. Nipo dar na niliacha double cabin yangu huko ila nishaihamisha maana muda si mrefu kazi itaanza
WEWE HUU UMATI WA MSIBA WA MAGUFULI SIO WA LEMA
Ndiyo maana kaingia mitini, hata picha ya simu kachemka anataka kusema anatumia kiswaswadu!.Huyu yuko Kyela hayuko KIA
uMEONA NGUO ZA KIJANI NA NJANO HAPO?
wanasema eti leo ya Lema, leo ndio nimeamini watu ni waongo sana
Leo manka umechefukwa?Unaweza ukawapa taarifa Hao JF waweke uzi wao ili uchangie kule , niko tayari huu wangu uungwe kule ili wewe uridhike , usichokijua ni kwamba hizi nyuzi tunaziweka humu jf kwa lengo la kuleta taarifa tu , hatutafuti sifa au utukufu wowote ule , huwezi kuwa maarufu kwa ID fake .
Mimi huleta habari za Chadema ili kusaidia chama changu tu , sitafuti chochote , sasa ukiona uzi nimeweka mimi huna haja ya kuumia , silipwi hela yoyote , wewe achana nao upuuze , mbona nyuzi za ccm humu za Chongolo na kinana zimo nyingi tu , changia hizo mkuu , hata wewe unaweza kuanzisha uzi kuhusu Samia kwenda Arusha , usikerwe na mimi , ukiangalia profile yangu sijafollow yeyote yule , najiwakilisha tu , ingekuwa JF INAWALIPA WAANZISHA NYUZI UNGEKUWA NA HAKI YA KUUMIA , lakini hatulipwi mkuu wangu , usije ukaniloga bure .
Nasikitika sana kukuandikia haya , huwa sipendi malumbano hasa ya kijinga , napenda kujikita kwenye hoja tu .
Kingine unaweza kuniweka kwenye Ignore list ili huu upuuzi wangu ninaouandika humu jf usiuone , ukishindwa waombe moderators wakusaidie kuni ignore .
Sijaona kwasababu hao ni wananchi wa kawaida waliokua wanampenda Magufuli, hii video ni ya msiba wa Magufuli