Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu walimsubiri jiwe eapoti wanywe soda za bure, pia kuna wengine wanajaa barabarani kusubiri maiti ipiteMwanaume mwenye kende zake unaacha kazi zako unaenda kumpokea mwanaume mwezako?
Sema Geita mkuu , usione aibu , Jasiri haachi asiliMikoa yote, hata huko kwenu mbeya mwezi uliopita wamemnyoonga muhasibu wa TANESCO
Kuna wajinga wamedhamiria kututoa kwenye reliJf ligi haziishagi
Ova
Unataka mpaka aaminiwe na mamako?Lema angepewa uenyekiti wa Chama tu, Mbowe hana ushawishi na watu wengi ni kama vile hawamuamini tena
Kwahiyo haya mauaji yanayorepotiwa daily yanatokea geita tuu?Sema Geita mkuu , usione aibu , Jasiri haachi asili
AmenKamanda wetu: Erythocyte usitishike na hao wapuuzi, tunakushukuru sana kwa taarifa unazotuwakilishia pambana kamanda wengine jf ndiyo tegemeo letu, ninapoona taarifa zako huwa nafarijika sana.ENDELEZA HONGERA, PAMOJA SANA.
ha ha ha ha ha ha ha ha, hawa jamaa wakiwasha pikipiki basi,mradi liendehahaha ndicho ninachowapendeaga machali wa ara
Uzi wa kijinga huu umeandikwa na mjinga. Lema ni mmoja wa wajingaInasikitisha kuona akili za watu wengi Bado haziko huru pamoja na kutangaziwa uhuru bandia.Hatimaye wameharibu mapokezi Kijanja wakaona haitoshi wamekuja kuharibu Uzi kijanja
Pamoja mkuu ila naomba nikutetee wanaokuhusisha na Nikki wa pili wanamkosea DC na kumfedhesha.Uzi wa kijinga huu umeandikwa na mjinga. Lema ni mmoja wa wajinga
😂😂😂 Umefura 😆😆!!Nafahamu mmeunda vikundi kunichafua , sababu ni ile ziara kabambe ya Kanda ya Nyasa , lakini waulizeni wanaowatuma , ukitaka kunifahamu zaidi mtafute Mwakyembe akusimulie , dagaa kama nyinyi hamniwezi hata kwa kuloga , Wajinga sana nyie !
Kama kikao cha ukoo hivi
Uzi wa kijinga huu umeandikwa na mjinga. Lema ni mmoja wa wajinga