Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema


Hisia zako mwenyewe ndiyo imefikia hapo🤣🤣
 
Hiii ni Edinburgh org

UN northern Kongo ....upo chalii aliyepanga hiyo ziara ndo ajipime.....mafuriko Kia ndo yamezidi...hata yeye bila kujuwa kajikuta katika mapokezi ya Nabiii Chadema ni upendo...tunamkaribisha sana katika mapokezi
Hangaya apewe mic
 
Leo manka umechefukwa?
 
Sijaona kwasababu hao ni wananchi wa kawaida waliokua wanampenda Magufuli, hii video ni ya msiba wa Magufuli

Thank you!
Leo tume tumegundua uwongo wao walahi!
Chadema hamna kitu aisee[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…