Pole mkuu,Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa Bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
Pole sana mkuu na mshukuru MunguAliniambia kuwa yeye pale kriniki ana dada yake( ninamfahamu), alimseti kwenye makadi ya dawa ,huwa kuna pesa zikiingia kwa ajili ya kuwagawia wagonjwa,sasa wahusika huwa na wagonjwa wengi hewa,kwa hiyo huwa kuna upigaji,yeye alikuwa mgonjwa feki,
Hivyo nikamwambia ili kuondoa utata tukapime, akakataa, nikamuacha,ila kwa mbinde, maana alikuwa ananiendea mpaka kwa waganga,bi mkubwa akaingilia kati mpambano,nikafanikiwa kuchomoka salama.
Asante[emoji120]Pole sana mkuu na mshukuru Mungu
Yapo yupo vizuri sana, sikukuu ya iddi alinikaribisha kwake, sijui namba yangu alipata wapi, nikamjibu wewe ni[emoji192] [emoji38][emoji38]Still anasurvive?
Ni kweli asilimia kubwa ya watu wenye O+ hawapati HIV kirahisi, nina mfano hai wa mtu wangu wa karibu kabisa, miaka hiyo yule bwana na mahawara zake kibao walishaiacha dunia kwa ukimwi ila yeye yupo hadi leo, kila akipima ni negativeACHENI KUPEANA MATANGO PORI.
DAMU O+ HAINA CHOCHOTE JUU YA HIV ....
YAAN UKIZENGUA, UNAPATA NGOMA KAMA KAWAIDA.
KWAUFUPI DUNIANI WATU WENYE O+ WANACHUKUA 70% YA IDADI YOTE YA WATU.
Usimnyanyapae bwana...nenda tuYapo yupo vizuri sana, sikukuu ya iddi alinikaribisha kwake, sijui namba yangu alipata wapi, nikamjibu wewe ni[emoji192] [emoji38][emoji38]
Group O + , wanachangia asilimia zaidi ya 75 ya wenye Ngoma wote Duniani.Ni kweli asilimia kubwa ya watu wenye O+ hawapati HIV kirahisi, nina mfano hai wa mtu wangu wa karibu kabisa, miaka hiyo yule bwana na mahawara zake kibao walishaiacha dunia kwa ukimwi ila yeye yupo hadi leo, kila akipima ni negative
Mmmh! Mtihani huyo imepita miaka mingi sana,toka tuwe karibu,nakutanaga nae sana masika pale ana maduka yake ila nikimuona nabadilisha njia,namkwepa,kiafya wala haoneshi shida.sometimes nahisi aliponiambia kuwa mgonjwa feki naanza kuamini.ila sasa mambo ya ujana nilishavuka, nina watoto wa kuwaangalia,ngoja nipunguze risk zisizo za lazima.Usimnyanyapae bwana...nenda tu
Si kweli huo ni uzushi wa watu kudaganyana Kuna article nilisoma hao 0+ ndo wako hatarini Sana aisee, pia mtu aweza kuwa malaya ila anaanda mtu hachubuki ng'o Sasa wewe IGA ufeNi kweli asilimia kubwa ya watu wenye O+ hawapati HIV kirahisi, nina mfano hai wa mtu wangu wa karibu kabisa, miaka hiyo yule bwana na mahawara zake kibao walishaiacha dunia kwa ukimwi ila yeye yupo hadi leo, kila akipima ni negative
😀😀😀 kwamba ana maduka masika!! Anadrive harrier🤭Mmmh! Mtihani huyo imepita miaka mingi sana,toka tuwe karibu,nakutanaga nae sana masika pale ana maduka yake ila nikimuona nabadilisha njia,namkwepa,kiafya wala haoneshi shida.sometimes nahisi aliponiambia kuwa mgonjwa feki naanza kuamini.ila sasa mambo ya ujana nilishavuka, nina watoto wa kuwaangalia,ngoja nipunguze risk zisizo za lazima.
Najua nikijiweka karibu tu lazima nitapita nae,halafu turudi kule kuleee..
Vibaya mnoo[emoji848]Ugonjwa umekaa pabaya sana....
Mmmmhhhh[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba ana maduka masika!! Anadrive harrier[emoji2960]
Hivi hujamzoea huyu mleta uzi...sio kwamba yy ndo anaumwa[emoji16][emoji16]Komaaa wamesema wenyewe utaisha 2030, kwa hiyo sasa hivi unaishi kwa bwana matumaini?
Ila mkuu pamoja na elimu yote hii bado unapata moto!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Nchi hii kila mtu anajidai Hana Ngwengwe na ARV hazijui. Bongo raha. Mpaka abanwe mbavu na kuharisha kwenye diapers "pampers" ndo mtu anakubali matokeo
Huyu chai zake huwa zinanifurahisha sanaMzee wa kerege keshapigwa umeme...[emoji38][emoji38][emoji28]
[emoji38][emoji38][emoji38]