Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Pole mkuu,Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa Bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
Kwa vile unaweza kula na kunywa kila siku ili kusurvive, ni sawa tu na hivyo vidonge tofauti ni radha.
Pole sana. Mungu akubariki kwa ujumbe murua.