ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Ah kwa utam utam ule wacha tuu tufe nao ila hatuachi ng'ooo

Mungu au shetani?? Shetani ndio kaliweka hapo bwana ili atunase vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilikuwa mwaka gani hii?...wanaomeza dawa huwezi wakuta na haya maishu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Kweli kabisa, siku hizi hizo dalili za magonjwa nyemelezi hazionekani kabisa, wanaanza kliniki mapema ni mwendo wa kunawiri tu, ukijichanganya tu basi tena.

Ila kwa wale wanaochelewa kuanza kutumia hizo dawa kwakweli wanapitia mateso makali sana. Nina experience ya ndugu yangu mmoja, dah! Yaani kwa maumivu na tabu anazozipata mnajikuta mnaomuhudumia ndo mnamwaga machozi. Lakini tunamshukuru Mwenyezi Mungu baada ya mateso yale alirecover akaanzishiwa dawa....Mpaka muda huu anadunda tu[emoji1431] huwezi kumtambua.

Kama inawezekana kujilinda tufanye hivyo, chini kusitawale vichwa vyetu.
 
Hakuna mwanaume malaya.
Wanaume ni watombaji tu.
Wanawake ndio malaya.

Kuhusu uwepo wa ukimwi sina uhakika kama upo, kwani hakuna mtu alie muona kirusi cha HIV.

Binafsi uwepo wa Ukimwi ( Upungufu wa kinga mwilini) nakubaliana nao lakini usiniambie kua upungufu huo unatokana na HIV hapo tuta kesha kubishana.
 
Jamani si Wanasema ukiwa unameza dawa unaishi 20yrs au yy alikuwa hamezi?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Duuuh
 
Kama demu humwamini au ni mpya na huna condom kwa wakati huo na vipimo huna, njia rahisi ya kujikinga na ukimwi ni kupiga bao moja la maandalizi na la muda mfupi sana hata dakika 3-5 nyanyuka vaa suruali yako ondoka muache hapo, kama anataka aridhishwe atakutafuta yeye kwa muda wake mpime au mtumie kondom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…