ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Mim mwenyewe mwanzoni nilisumbuka sana kumeza lakini baada ya wiki mbili nikazoea saiv nazimeza na ninadunda nateleza na mabinti tu ...kina muhimu sana
Safi, kikubwa fuata muda vizuri kila siku. Ukifuata utaratibu kwenye kuzitumia huwezi kumwambukiza MTU. Sema shida IPO pale unapomega dry halafu ukaingia kwa manzi mwenye ngoma na hatumii ARV. Man virusi vipya vinazibdua hadi vile vyako ulivyokuwa umevifubaza na dawa. Gonjwa linaanza Upyaaaaaaaaa!! Bora mipango ya kando tumia zana na kwa partner wako unayemwamini ndio dry.
 
Ni kwamba mnakuwa carriers mnatransmit kwa wengine.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwa ufahamu wangu, Carrier ni yule MTU ana HIV na kapima kabisa yupo +ve. Sema zile Virus hazimdhuru kwa chochote na hatumii ARV. Sasa hawa O+ wenyewe hawapati kabisa HIV.
 
Unajaza watu hofu tu, Ukimwi ni upo hili halina mjadala. Lakini si kweli kwamba ukiupata unakuuwa. ARV zinasaidia sana. Sema shida ya hizi dawa zina masharti ya kuzinywa. Bora Chakula unaweza kujipangia muda wa kula.
 
Hajaanza Leo kumbe!
 
Dah mkuu mimi niliuza mechi moja hatri sana seven years passed ila kila nkikumbuka tumbo linauma
Skuwahi kuuza mechi tena tangu skuile,,
Na wala skuwahi pima.
Mmoja kati ya wahusika hao 3 amefariki mwezi uliopita.
Wamebaki 2
Nataka niwapime kwa lazima
 
Hahahaha mkuu hii kitu naskia ukujigundua unayo alaf uko mwenyew ni hatr sana.
Bora uipandie gari ukapime ata moro apo hakujui mtu.
upewe ma hope ukikutwa nalo.
Ila mkuu we kiboko miaka saba hujapima? 2013[emoji16][emoji16][emoji849]

Una roho ngumu
 
Mkuu nazidi kuvuta vuta nguvu sku moja haina jina ntapitiliza t ad ndani nijilipue,,
Kuish kwa waswas sio kbsa.
Ukipima ndo umekwisha mkuu.

Kwa nini uishi kwa wasiwasi wakati hakuna kilichobadilika kabla na baada.

Ila acha zinaa πŸ˜€πŸ˜‚
 
Ukipima ndo umekwisha mkuu.

Kwa nini uishi kwa wasiwasi wakati hakuna kilichobadilika kabla na baada.

Ila acha zinaa πŸ˜€πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…..mkuu ndo kinachonipa energy iko,
Mbona niko sawa t miaka yote iyo,,
Ila nkikumbuka lile tukio tumbo linauma.
 
Uliahirisha mechi hiyo siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…