ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Bwana we mkuu,Hilo
Tukio lilikuwaje kwani?
Ukienda kupima wakati upo sawa ujue Mungu stakupa unachokitafuta.π π ..mkuu ndo kinachonipa energy iko,
Mbona niko sawa t miaka yote iyo,,
Ila nkikumbuka lile tukio tumbo linauma.
Mkuu na hii ndo assumption yangu skuzote,,Ukienda kupima wakati upo sawa ujue Mungu stakupa unachokitafuta.
Haiwezekani mtu uko fiti hauna mabadiliko yoyte alafu unataka kupima,lazima mungu akupe ulichokiendea.
Na bila shaka ulichokiendea ni ukimiw na sio afya kwa sababu kama uliendea afya bila shak ungebaki nyumbani kwa sababu unayo afya tele.
Usipime.
Usipime.
Usipime.
Maadamu uko fiti usipime yaliyopita si ndwele mkuu.
moto unaweza kupata pamoja na elimu zote mkuu especially kama umeoa ama kuolewa...Komaaa wamesema wenyewe utaisha 2030, kwa hiyo sasa hivi unaishi kwa bwana matumaini?
Ila mkuu pamoja na elimu yote hii bado unapata moto!!?
mkuu kama mbaazi zinatumika kwa usahihi basi chances za kukuambukiza ni kama hakuna..shida ni wenye gridi halafu hawajui kama wako kwenye gridi (hawamezi tembe).. hapo ukigusa tu unawaka..Kabisa ndio maana kwa hali ya sasa ilivyo kama haupo makini kwa kuuza mechi chance ya kuunganishwa kwenye gridi ni kubwa coz watu wengi wameathirika na wanatumia mbaazi.
Ulifanyaje mkuu? " Sodomate or?[emoji848][emoji28][emoji28]..mkuu ndo kinachonipa energy iko,
Mbona niko sawa t miaka yote iyo,,
Ila nkikumbuka lile tukio tumbo linauma.
Unamaanisha nini [emoji848]mimi nilisha semaga kama nikipma nikagundulka nakufa na tai shingoni
Mkuu kweli ukigusa tu unanasa?...sio mpaka msuguane?mkuu kama mbaazi zinatumika kwa usahihi basi chances za kukuambukiza ni kama hakuna..shida ni wenye gridi halafu hawajui kama wako kwenye gridi (hawamezi tembe).. hapo ukigusa tu unawaka..
Mkuu hiyo siku ilikua hatriUlifanyaje mkuu? " Sodomate or?[emoji848]
HABARI ILIISHIA HAPOUliahirisha mechi hiyo siku?
Ndio kugusa kwenyewe huko bibie unapewa dodoki linapiga kazi hatari. Ukitoka hapo 240 KVMkuu kweli ukigusa tu unanasa?...sio mpaka msuguane?
Duuuh kwahiyo kipi muhimu?Ndio kugusa kwenyewe huko bibie unapewa dodoki linapiga kazi hatari. Ukitoka hapo 240 KV
Nani kakomaa na corona?Tuchukue tahadhari na Ngwengwe Kama tunavyokomaa na Korona
Kama hamjapata muda wa kupima na wote genye zimewakamata, tumia ndomu tu. Au kilainishi especially Ile Durex Ila mnapigana foreplay ya kutosha ili msifanyane mpaka friction iwe kubwa.Duuuh kwahiyo kipi muhimu?
Jinga kweli weweKama hamjapata muda wa kupima na wote genye zimewakamata, tumia ndomu tu. Au kilainishi especially Ile Durex Ila mnapigana foreplay ya kutosha ili msifanyane mpaka friction iwe kubwa.
Ile Durex ni balaa njoo tujaribu [emoji12]
Lakini si kuna mafunzo kwa nadharia halafu unamalizia kwa vitendo ππππππJinga kweli wewe
Mwanzo Niko serious nasoma kwa makini kumbe umemaliza na utopoloo [emoji16][emoji16]
Dah....pabaya au patamu ? π€£π€£π€£π€£π€Ugonjwa umekaa pabaya sana....