ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Bwana we mkuu,Hilo
Tukio lilikuwaje kwani?
Mambo yetu ayo watoto wa ilala ..
Mama zetu wanapenda kutulea tukikua kua,
Nililuka na bimkubwa mmoja,
Uyo bimkubwa baadae nakuja kuskia skia story zake dah kichwa kiliniuma sana,,ila apo nishaluka nae mara moja..