ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

😅😅..mkuu ndo kinachonipa energy iko,
Mbona niko sawa t miaka yote iyo,,
Ila nkikumbuka lile tukio tumbo linauma.
Ukienda kupima wakati upo sawa ujue Mungu stakupa unachokitafuta.

Haiwezekani mtu uko fiti hauna mabadiliko yoyte alafu unataka kupima,lazima mungu akupe ulichokiendea.

Na bila shaka ulichokiendea ni ukimiw na sio afya kwa sababu kama uliendea afya bila shak ungebaki nyumbani kwa sababu unayo afya tele.

Usipime.

Usipime.

Usipime.

Maadamu uko fiti usipime yaliyopita si ndwele mkuu.
 
Mkuu na hii ndo assumption yangu skuzote,,
Kama niko sawa miaka nenda sasa kwann nkapime.
Natafuta nini nijue nini..
 
Kabisa ndio maana kwa hali ya sasa ilivyo kama haupo makini kwa kuuza mechi chance ya kuunganishwa kwenye gridi ni kubwa coz watu wengi wameathirika na wanatumia mbaazi.
mkuu kama mbaazi zinatumika kwa usahihi basi chances za kukuambukiza ni kama hakuna..shida ni wenye gridi halafu hawajui kama wako kwenye gridi (hawamezi tembe).. hapo ukigusa tu unawaka..
 
Mkuu kweli ukigusa tu unanasa?...sio mpaka msuguane?
 
Tuchukue tahadhari na Ngwengwe Kama tunavyokomaa na Korona
 
Duuuh kwahiyo kipi muhimu?
Kama hamjapata muda wa kupima na wote genye zimewakamata, tumia ndomu tu. Au kilainishi especially Ile Durex Ila mnapigana foreplay ya kutosha ili msifanyane mpaka friction iwe kubwa.

Ile Durex ni balaa njoo tujaribu 😜
 
Kama hamjapata muda wa kupima na wote genye zimewakamata, tumia ndomu tu. Au kilainishi especially Ile Durex Ila mnapigana foreplay ya kutosha ili msifanyane mpaka friction iwe kubwa.

Ile Durex ni balaa njoo tujaribu [emoji12]
Jinga kweli wewe

Mwanzo Niko serious nasoma kwa makini kumbe umemaliza na utopoloo [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom