ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Kheri hizo dawa maana unaweza kuishi hata 20 years ila kuna magonjwa kama cancer yakishakutafuna, chances za kutoboa ni ndogo mkuu.

Kula tu njugu zako in peace mkuu #chaMsingiUhaiTu
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Pole mzee baba ila ndo maisha hayo bwana, siyo wote wamepata kwenye ngono.....
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Mie nilishasema ikitokea siku nimeukwaa sintokuja kutumia hizo njugu,
Nabadili mtindo wa maisha na kula diet inayoeleweka pia naacha ngono basi maisha yatasonga tu
 
Mbaya zaidi ni sisi wapiga punyeto tunadharaulika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…