As it Stands Tundu Lissu aombe MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
 
Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa.
Utter nonsense!
 
Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke
Omba ww kama ndio mategemeo yenu.
 
Kiongozi wa watekaji na wauaji anatakiwa kuja kutoa ushahidi pia
Ushahidi kwa shahidi ambaye hata humjui yaani Lissu ndo inatakiwa awaongoze mashahidi unakumbuka nini tarehe 09/04/2025 hiki ni kituko! Atajibu nilikua Ikulu ya Dodoma nini kilifuatia nilitoka ofisini na kufanya majukumu mengine ulisikia nini sikusikia chochote 😁😁
 
Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
Stupid!Kwa kosa lipi!?
 
Nakukumbusha tu we fisi wa Lumumba.

Mandela alikaa nyuma ya nondo kwa miaka 27 na uhai wake wa kisiasa haukufa.
 
Ushahidi kwa shahidi ambaye hata humjui yaani Lissu ndo inatakiwa awaongoze mashahidi unakumbuka nini tarehe 09/04/2025 hiki ni kituko! Atajibu nilikua Ikulu ya Dodoma nini kilifuatia nilitoka ofisini na kufanya majukumu mengine ulisikia nini sikusikia chochote 😁😁
Hahaha,
Unafikiri ataulizwa vimaswali vya kubembelezwa na kutukuzwa hivyo?

Atabamizwa hadi aite maji mmaah !!
 
Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
Mkuu,uliandika thread humu kuwa umeacha kujihusisha na mada za siasa...vp tena😃😃😃
 
Back
Top Bottom