Utter nonsense!Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa.
Omba ww kama ndio mategemeo yenu.Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke
Subira huvuta heriHiyo mtasubiri sana
Ushahidi kwa shahidi ambaye hata humjui yaani Lissu ndo inatakiwa awaongoze mashahidi unakumbuka nini tarehe 09/04/2025 hiki ni kituko! Atajibu nilikua Ikulu ya Dodoma nini kilifuatia nilitoka ofisini na kufanya majukumu mengine ulisikia nini sikusikia chochote ππKiongozi wa watekaji na wauaji anatakiwa kuja kutoa ushahidi pia
Stupid!Kwa kosa lipi!?Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
Nakukumbusha tu we fisi wa Lumumba.Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
Ndivyo ubongo wake umekariri hivyo.Kwamba ukiombwa msamaha ndiyo uonekane haujashindwa.Nioko lidondo!Utter nonsense!
Let it be.Or he will stay Behind bars forever
Hahaha,Ushahidi kwa shahidi ambaye hata humjui yaani Lissu ndo inatakiwa awaongoze mashahidi unakumbuka nini tarehe 09/04/2025 hiki ni kituko! Atajibu nilikua Ikulu ya Dodoma nini kilifuatia nilitoka ofisini na kufanya majukumu mengine ulisikia nini sikusikia chochote ππ
Mkuu,uliandika thread humu kuwa umeacha kujihusisha na mada za siasa...vp tenaπππTundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa