As it Stands Tundu Lissu aombe MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

'Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi na kuaminika kwake' Jaji Ndunguru.
 
uko sahihi,
na hiyo ni option muhimu sana na itakayompa faida yeye binafsi na familia yake na chama chake kwa ujumla.
ni vizuri aache kiburi isiyo na faida
 

Kwa hiyo mmekubali kuwa ni kesi yake, ameianzisha yeye na atakayeimaliza ni yeye.

Sasa achani uhuni wa kutuambia tuache sheria ichufuate mkondo wake. Mwenye kesi anajulikana.
 
Kwa hiyo mmekubali kuwa ni kesi yake, ameianzisha yeye na atakayeimaliza ni yeye.

Sasa achani uhuni wa kutuambia tuache sheria ichufuate mkondo wake. Mwenye kesi anajulikana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ujinga wenu mnachanganya sheria na Siasa Yule jamaa mwenye matusi Rugemeleza Nshala leo kajua kuwa kuna sehemu Lissu ame mess up
 
Alishasema
Akikutwa na hatia anyongwe but kwa Haki
 
Inaonekana unampenda sana hutaki anyongwe kamshauri basi kama mtanzania mwenzio
 
Huyu apuuzwe
 
🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…