Tatizo la wakenya hawana habari za kutosha kuhusu Tanzania,Hakuna uwanja unaojengwa wala kutegemea Morocco.
Juzi nilikuambia data zako nyingi hazipo updated.
Halafu hivyo viwanja vya kuchezea rede ndio unafananisha na viwanja vya Tz embu kuwa na adabu.
Halafu mbona hivyo viwanja havifanani na vile mlivyo pewa ahadi na jubilee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama we unayo akili Kwan hapo zaman kabla ya korona watu huko mtaani walikua hawafi au ndio mawazo ya njaa? Watu wanakufa Kwa magonjwa kibao inakuaje mtu akifa apimwe korona tu kwanini musipigie debe kupima kisukari, presha, maralia, na TB. Sasa toka kakayenu aje haijui barakoa na ndio umeona anachanganyika na watu kama vili lakini ajaumwa hata mafua tu mwezi unaenda wa tatu huu. Akili yenu kuwa kiduchu kichwan ndio inayowagharimu mutaupigia promo sana huo ugonjwa Kwa niaba ya wazunguWaliokufa mpka sasa hko mitaani mumewapima corona kwan..
Mbna mnaweweseka sana na wakati kwenu hampimi maiti..
Ama ulihakikishiwa km corona inaua kila mtu
Nasikia nyinyi ndiyo maana hamtaki kuchamba mkienda chooni kisa hamtaki kumuiga muarabu[emoji23][emoji23][emoji23]mswahili hovyo sanaa dah! lini ataacha kumlamba lamba mwarabu mazee !![emoji23]
Wanaona bora wamuige mzunguNasikia nyinyi ndiyo maana hamtaki kuchamba mkienda chooni kisa hamtaki kumuiga muarabu[emoji23][emoji23][emoji23]
Our main stadium is Kasarani with the capacity of 60,000.Kenya iko na competition mingi zenye zinajulikana lakini stadium yao haiwezi bemba watu wengi kuliko ya majirani wao.
Tanzania country of one competition which is known lakini National Stadium ya TZ inabemba watu wengi kuliko ya Kenya .
KE 🇰🇪
Stadium Nyayo
Capacity 30000
View attachment 1511393
TZ 🇹🇿
Benjamin Mkapa
Capacity 60000
View attachment 1511392
Stadium zenye zinajulikana
Kisirani is typical old model stadium, we don't talk about stone age facilities here.Our main stadium is Kasarani with the capacity of 60,000.
View attachment 1511587
U r funny[emoji3][emoji3]But it is better than all your stadiums.
Iyo yenu ishawahi kuhost international tournament ata Moja?U r funny[emoji3][emoji3]
Hehehe, KCB walitoa Milioni 40, yaani this is even enough to cover Francis Kahata's salary and Housing allowance and Health Insurance in one monthYour league is not richer than Kenya`s. Who are the sponsors of your league if not Kenyan companies?
Sasa ndio msiweweseke na vifo vya huku, ilhali hko kwenu hampimi maiti.Sasa kama we unayo akili Kwan hapo zaman kabla ya korona watu huko mtaani walikua hawafi au ndio mawazo ya njaa? Watu wanakufa Kwa magonjwa kibao inakuaje mtu akifa apimwe korona tu kwanini musipigie debe kupima kisukari, presha, maralia, na TB. Sasa toka kakayenu aje haijui barakoa na ndio umeona anachanganyika na watu kama vili lakini ajaumwa hata mafua tu mwezi unaenda wa tatu huu. Akili yenu kuwa kiduchu kichwan ndio inayowagharimu mutaupigia promo sana huo ugonjwa Kwa niaba ya wazungu
Na hata kama wanazo ni lazima tu wapotoshe ili wajipe matumaini [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la wakenya hawana habari za kutosha kuhusu Tanzania,
We nyie mmewahi host international tournament ipi au ndo cecafa [emoji3][emoji3][emoji3]Iyo yenu ishawahi kuhost international tournament ata Moja?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hyo ndiyo maana halisi ya maisha bora, yn mtu unatakiwa uwe na muda wa ku relax, ss ww mwalimu na isitoshe mpo wachache shule nzima mpo walimu 10 huwezi pata muda wa kurelax.Kukuwa jobless ni kitu mbaya sana? Wewe uko online everytime, iwe usiku, iwe asubuhi, iwe mcha na pia hata jioni utapatikana online. Toka kwa nyumba ya mamako wewe, inafanya huwe lazy.
Sasa kwani Corona inauwa bila kuugua ? , Mtu anapimwa pale anapoonekana na dalili ndio anaenda kwenye vituo anapima sio kila kukicha kupima Corona tu uumwe usiumwe we kupima tuuu kama kazi za kufanya hamna ndio maana ukaambiwa unachokitafuta utakipata .huku mtu akifa anazikwa kama Zamani tu na familia yake na jamii inayomzunguka ,ndugu na wengineo kibao sasa kama kungekua na kurona TZ kama munavyofikiria ninyi kwa mazingira hayo cjui ingekuaje!!Sasa ndio msiweweseke na vifo vya huku, ilhali hko kwenu hampimi maiti..
Bongo kw sasa unaweza ukaafa kw maradhi mengine lkn corona iwe ndio imechangia zaidi..
Bt hampimani sasa mtajuaje km hko kwenu haiuwi watu
Tafuta kitu ufanye kijana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] that is the real meaning of a better life, yn one should have time to relax, ss ww teacher and countless give a few whole school give 10 teachers you can not find time to relax.
Tumewahi au tayari kuna ingine inakam throughWe bwege nn nyie mmewahi host international tournament ipi au ndo cecafa [emoji3][emoji3][emoji3]