Hakuna uwanja unaojengwa wala kutegemea Morocco.
Juzi nilikuambia data zako nyingi hazipo updated.
Halafu hivyo viwanja vya kuchezea rede ndio unafananisha na viwanja vya Tz embu kuwa na adabu.
Halafu mbona hivyo viwanja havifanani na vile mlivyo pewa ahadi na jubilee [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo la wakenya hawana habari za kutosha kuhusu Tanzania,