As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

Maendeleo yapi yaliyoko Kenya mkuu? Nchi ambayo mpka saa hii raia wake mlo tu hawana uhakika nao.
 
Matunda ya katiba mpya na bora kushinda nyingi Africa, mtaelewa tu endeleeni kusubiri.
Mna pato kubwa la taifa ama siyo bhana! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maendeleo yapi yaliyoko Kenya mkuu? Nchi ambayo mpka saa hii raia wake mlo tu hawana uhakika nao
Hao ndio miongoni mwa wale ambao kasumba iliwaelemea but nowadays everything is open na watu wameona.
 
Correctly u would say "Where will Kiswahili take me? Or how will it help me? (Or how it helps me?) you don't know both Kiswahili and English.
Ujinga ya Mtanzaia ni nyingi sana. What`s the problem with " How will it help me?" Why do you want me to use your version and not mine? If you don`t answer this question then you will be the greatest fool in this forum.
 
Mombasa county and Jubilee are two different entities you fool, this project is getting built by Mombasa and not Jubilee.
Mwambie uwanja unajengwa na serekali ya jimbo la Mombasa na siyo serikali kuu atakuelewa.
 
Vipi WB wanawapa lini tena mkopo wa kuwakomboa kweye janga la Covid
Tofauti ya mkopo na msaada ni kuwa mkopo utalipwa uko mbeleni while grants you are given out of sympathy. Grants are for poor countries like Tanzania.
 
Tofauti ya mkopo na msaada ni kuwa mkopo utalipwa uko mbeleni while grants you are given out of sympathy. Grands are for poor countries like Tanzania.
If u show me an evidence that indicates Tz is a poor country I shall leave Jamii Forum.
 
Ulivyo zuzu umechukua picha inayoonesha nyuma ya uwanja halafu unataka kufanya comparison na picha inayoonesha pitch! Weka hiyo inayoonesha pich na majukwaa halafu ndio ufanye compee
Hamna viwanja Tanzania.
 
Tofauti ya mkopo na msaada ni kuwa mkopo utalipwa uko mbeleni while grants you are given out of sympathy. Grants are for poor countries like Tanzania.
Una uwalakini itakua hufuatilii hata habari, kuiita Tanzania nchi maskini inaonyesha jinsi gani unavyokurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…