Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
- Thread starter
- #101
Compare and contrast.Loosers as usual. Hakuna stadium ya ku match viwanja vyetu hapa Bongo. Hiyo nyayo tu imechapwa na Mwinyi stadium ya huko Tabora. Sasa mtaweza compee na kiwanja gani hapa Bongo? Nyinyi mko chini sana katika football game and its infrastructure in general. Hamna ubavu wa kujipima na Tanzania.
Nyayo
Mwinyi 😂 😂 👇