PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,298
Bro unajua nn unajitekenya afu unacheka mwenyew ila ukwel unaujua unachokifananisha, ila ukweli ni kwamba hamtufikii kwny uwekezaji wa michezo labda ungesema currencies issues ndio maana ata watu wanakuwa wanakupotezea. Ukwel ni kwamba kweny suala la uwekezaji wa football hamtufikii hata robo ata shirika lako la mpira kenya linajua ilo.
Kila mchezaji anaecheza premium Kenya kwenye akili yake kwa EAC TANZANIA ni sehemu ana wish kucheza hii ligi sababu ligi ni Bora kuanzia ushindani mpaka uwekezaji.
Kila mchezaji anaecheza premium Kenya kwenye akili yake kwa EAC TANZANIA ni sehemu ana wish kucheza hii ligi sababu ligi ni Bora kuanzia ushindani mpaka uwekezaji.
Endelea kulia. Kama hizi ndio viuwanja bora basi ni kama Tanzania is not in planet earth [emoji23] [emoji23]
View attachment 1510350View attachment 1510351