Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

_20240324_234835.JPG
_20240324_234823.JPG
_20240324_234846.JPG


Wasomali wakamatwa tanzania
 
Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.

Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 am
Chanzo: Ayo TV
Hiki Chama nimeshawaonya hata ndugu zangu......ukikaa na Member wa Chama hiki My frienda Keep Your eyes Open.

Wanakitumia kwa maslahi tu.

Ndio maana wanakipenda japo hakina Faida Kwa Taifa.
 
Hapo angewavesha sare na anafungulia nyimbo za Capt Komba na Chidumule
Hapo kuna mnafki kachoma issue, sheria nyingine za kikoloni sioni tatizo msomali akikatiza bongo kwenda zake southafrica , sisi kama tanzania tunapungukiwa na nini? Ni sheria aliziweka mkoloni kutucontrol na kutudhibiti tusizamie kwao huko dunia ya kwanza
 
Back
Top Bottom