Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Hiki Chama nimeshawaonya hata ndugu zangu......ukikaa na Member wa Chama hiki My frienda Keep Your eyes Open.

Wanakitumia kwa maslahi tu.

Ndio maana wanakipenda japo hakina Faida Kwa Taifa.
 
Hapo angewavesha sare na anafungulia nyimbo za Capt Komba na Chidumule
Hapo kuna mnafki kachoma issue, sheria nyingine za kikoloni sioni tatizo msomali akikatiza bongo kwenda zake southafrica , sisi kama tanzania tunapungukiwa na nini? Ni sheria aliziweka mkoloni kutucontrol na kutudhibiti tusizamie kwao huko dunia ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…