Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Kwann chadema na isiwe labda Waziri fulan ,
 
Huyo ni kada, na gari atarudishiwa mmiliki.

Una uhakika gani i kama ni mwanachama wa CCM

Bendera inafungwa kwenye gari ya kiongozi wa CCM tu tena mkubwa sio kada yaani huyo kazi anayo guu
Gari inaondoka hiyo

Sheria inatamka wazi ukihifadhi wahamiaji haramu hata kwenye nyumba yako.Nyumba inataifishwa
 
Hii gari ni ya mjumbe wa mkutano mkuu taifa wa CCM, mtu wa kawaida hawezi kununua hili shangingi
 
Unajidanganyaa wee.
 
ETHIOPIA/SOMALIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…